Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Tumekusikia msemaji wa Kremlin
 
Naskia kwa ule ujinga wao eti huko Ulaya wanamfanyia uchawi Putin kwa kumroga[emoji23][emoji23], hawajui kuwa huko Russia ndio giningi kwenyewe
 
Kitu chochote KikiExpire kinakuwa na Madhara makubwa,Kwa hiyo hayo Makombora ndiyo yenyewe kwa kuwatungulia Wakaidi kwa sababu yatakuwa yameongezeka Madhara,Russia kanyaga twende.
Unahitaji kujipa elimu zaidi kuhusu nuclear technology. Ikiexpire inatakiwa izikwe.
 
Kuwa nazo 500 ama 100000000 haisaidii, vita ya nuclea ni ya kutaimiana mrusi ndo ataanza so akianza na vita inaishia hapo kwa sababu inafukua juu chini na kama akilenga kwenye maghala ya nuclear ndo ujue usa kwisha habari yake
 
Kuwa nazo 500 ama 100000000 haisaidii, vita ya nuclea ni ya kutaimiana mrusi ndo ataanza so akianza na vita inaishia hapo kwa sababu inafukua juu chini na kama akilenga kwenye maghala ya nuclear ndo ujue usa kwisha habari yake
Urusi hawezi kumuwahi mmarekani kwasababu tàyari amezungukwa na kambi za kijeshi na washirika wake ni wengi hapo ulaya na kule japan.
 
Duh...wewe nyumbani kwako unayo mapanga mangapi?!?!
 
Aisee team NATO wamewehukaView attachment 2250567
Sasa hii taarifa yako mwenyewe pamoja na kwamba wamedanganya lakini ambazo ni operational ziko 1458 na nyingine wanasema ready for deployment kama 3039 ambao ni uongo, hizo ni decommissioned baada ya kuwa zimeshaexpire pamoja na hizo 1760.

Mimi nipo hapa Kremlin, nakupa taarifa sahihi.
 
Silaha nyingi za Russia amezi modernize ziko vizuri sana!
Russia anafanya decommissioning ya matakataka yote wanayoita nuclear weapons kwasababu yameshaexpire.

Angalia post #59
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…