Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Weka ukweli wa data yako hiyo data niliyoiweka imetoka source inayoeleweka
 
Aisee wewe unaaibisha Sana Kwanza Huna source umeamua kujiandaliw story kichwani data zangu ni sahihi
 
Weka ukweli wa data yako hiyo data niliyoiweka imetoka source inayoeleweka
Mimi ninazo sources za ndani ya Kremlin ndio maana siwezi kuziweka hapa.

Nuclear za urusi asilimia tisini zinakuwa decommissioned kwasababu zilitumia plutonium.
 
Kuna mfumo wa urusi wa mashambulizi ya nyuklia kiotomatik incase ikitokea commanding post zote including kremlin zikipigwa mabomu na kufutika huu mfumo unaitwa perimeter ni balaaa Sana nenda kausome vizuri hata USA wanao na israel wanao pia na sera ya jeshi lao idf inayoitwa the samson option au chaguo la samsoni. Urusi usiyachukulie poa mzee.
 
Hivi nuclear unahisi urahisi na thamani ya uhifadhi wake Ni Kama Smg au AK 47?
nuclear Ni silaha za kutisha kiasi Kwamba hats ikilipuka kwa kuexpire(haijawahi kutokea duniani) inaweza kusababisha kuangamia kwa majiji kadhaa. Hivyo basi silaha hizi hutunzwa masaa 24 na binadamu na mashine kuhakikisha usalama was silaha zenyewe na kuhakikisha ubora na utayari wa silaha muda wowote itakapohitajika kufanya hivyo.
Nb. Silaha 625 ulizosema ndizo zimebaki Bado zinaweza kufanya maangamizi ya ulaya yote Kama zitatumika kwa usahihi dhidi yao
 
Mtu Kama huyu mara nyingi anakua hana future anakula kwa mama akimaliza anaingia mtaani ndio maana anakua Kama mtu mwenye msongo wa mawazo Yani akili zake hazina uwezo wa kufiki hana kazi ya kufanya ndio utakuta anaona ngoja niandike andike tu. Swali dogo tu nchi yenye silaha ya nyuklia ulijua au kutangaziwa kwamba sasa tunatengeneza vichwa vipi vya nyuklia ?zaidi utakachoona makombora ambayo yana uwezo tofauti tofauti wa kubeba vichwa vya nyuklia. Hata hiyo korea kaskazini ni makombora yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na sio vichwa vya nyuklia wanavyoonesha.
 
Mimi ni mhandisi mwandamizi na nilichoandika hapa ni ukweli mtupu
Mhandisi wa mavi mukishasoma elimu yenu iliyo expire munaona kila kitu munajua ,kumbuka huo uhandisi wako Russia hata ukirudisha mwaka 1800 bado elimu yao ya mwaka huo ilikua Bora kuliko hayo mavi yako uliyoweka kichwani kwa miaka kibao ,tena walikua hawaitumii kabisaa halafu unazungumzia Russia ya leo ambayo elimu wanayotumia hata ipite miaka 1000 bado nchini kwenu hamjaifikia kweli unauhandisi we au umebeba mavi. Halafu unakaa mtu Kama ww unasubiri kuajiriwa hahahahah
 
Aliokwambia ni nani nuclear ina expire ?? hizo taarifa umetoa wapi ?? wewe ni nani mpaka unaongea tu hata majasusi wa CIA MOSSAD na KBG hawajawi kuongea jambo kama hilo wewe hizo data umetoa wapi ?? achana na masuala ya google usalama wa nchi hauko google taarifa za majeshi na siraha ni siri ya nchi.
 
Hapa nyumbani kwangu hatuna haja ya kununua sabuni maana umeshatupa povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…