Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Kwahiyo wewe unajua kuliko Marekani ?
Mmarekani anaufyata kwa Putin kwasababu ya vitu vyake vizito ambavyo wewe unasema ni expired
Ndio maana urusi ataishia kuwa maskini. Vita pale sio ya silaha. US yupo pale kwa vita ya uchumi. Hata china anamchochea aende taiwan ili ambane mbavu kwenye uchumi.

Jisomee kuhusu nuclear weapons mkuu.
 
Nenda google kajiridhishe kuhusu expire date ndio urudi hapa.
 
Hivi wakati wa USSR unafahamu walikuwa na Nuke ngapi???
 
Kuna mada nyingine ni za kupita tu!Chanzo Cha habari:Niamini Mimi🤣🤣
 
We jamaaa naona unayajua mambo ya ndani ya urussi kuliko hata ya nyumbani kwako
 
Google imemaliza maarifa ya vijana wetu
 
Wakati mleta mada akiropoka hayo maneno kwa ujinga, huko kwenye viwanja vya vita Boris Johnson wa Uingereza na Zelensky wa Ukraine wanailalamikia Urusi kwa kuwatwanga wanajeshi wa Ukraine+mamluki wa NATO na kombora aina moja tu lililoundwa miaka ya 1960's; wanadai eti anatumia silaha kali mno

 
Je Leo store umefungwa au bado unaendelea na stocktaking nije kuhakiki taarifa Yako 🚶
 
We hata kuiona ujawahi sasa wanaotengeneza halijui hilo? tatizo wabongo mkishakula ugali mkubwa na mchunga mnakua na akili za
kiwaki
 
Unajibu kwa hisia na mhemko, unaona sawa raia wanakufa Ukraine kwa vita ambayo ni non provoked !! Anachofanya putin angekifanya tanzania ungeongea hivi!! Do you know how many innocent kids, mothers and disabled communities wanakufa katika hii vita!! Huna roho ya kibidam wewe
 
Mtu mpumbavu siku zote hujiona ana elimu kubwa sana hii ndio sifa ya upumbavu sasa bora kumuacha tu ,hajui elimu anayolingia hapa duniani haijawahi kutumika kokote huko Urusi hata ukirudisha ktk miaka ya 1000 bado utakuta elimu yao ya mda huo ilikua bora kuliko hiyo elimu yake [emoji3][emoji3] tumsikitikie tu . Mabomu yalioundwa enzi za ujana wa Babu yake mzaa mama yeye hata hajuilikani Kama atakuja kua na hiyo anayoiita elimu ya nyuklia leo hii bado ni hatar utazan yameundwa mwaka Jana tena yanaogopwa na Uingereza sio nchi za Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…