Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,303
Tuonyesheni indicators za kukua kwa uchumi. Cheap takwimu Kama hizi mixed with primitive dictator's politics hazina mpango kwetuKwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.
Utazisikiaje habari za uongo? "Growth in the same period of 2016 was 6.8 percent."
Mbona tayari tumeshaanza kulogana! Sizonje ameshatuloga Mara kibao. Watumishi wa umma hawalipwi stahiki zao,huku so kuwsloga mchana kweupe?Mpaka sas hivi cjui tz tunaelekea wapi kwa maana siasa imetuharibu bado tu kulogana hadharani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uchumi kukuwa kwa 5.7% katika 1st quarter ambayo ndiyo kwanza tupo nusu yake. Kumbuka leo mwezi wa ngapi. Unaliona dogo hilo? Au tunataka indicators za scania ziwekwe ndiyo uelewe zimewekwa indicators?Tuonyesheni indicators za kukua kwa uchumi. Cheap takwimu Kama hizi mixed with primitive dictator's politics hazina mpango kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
This is what I call cheap politicseconomic growth haiwezi kuwa constant, hasa hasa ktk kipindi cha kulima, na kupanda nk, sasa hivi kipaumbele ni kuwekeza kwenye miradi ya kimaendeleo ambayo yatachoche, ukuaji wa elimu, afya, uzalishaji na usambazaji wa huduma na mazao
Try to be artistic and scientific. Hizo rangi ya wino ulotumia ni mbayaa na inumiza machoHao mnaowaita wapiga dili ndo hao waliokuwa na vijihela vyao wanatuajiri sisi wanyonge, sasa we kenua mimeno tu "Wapiga dili wamebanwa" kati huna hata sent, na mama yako alikuwa na kibarua huko kwa mpiga dili tayari kimeshaota nyasi , subiria vibom tu kutoka kwa nduguzo , na senti huna , ndo utajua kwanini lifti inapandwa lakin haiwekewi mbolea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wacha kudanganya watu, hizi siyo habari. Ni historia. Sasa leta takwimu za mwaka uliotoa hizi habari tuone mwaka uliishaje.Magufuli hapo nyuma kila sehemu alipokuwa akihutubia alisimama kwa mbwembwe na kutamba kuwa uchumi umekuwa huku akitumia izo data za IMF. Leo umnaziita et ni data za mabebari.
Siku ukiona unabeba ndoo ya pesa ya tz kwenda kununua toilet paper ndipo akili itakukaa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umeona yaliyoandikwa ni ukweli?Huu ni mwanzo tu mbona, tutaisoma namba kweli kweli
Mjinga mwenyeweNa wewe umeona yaliyoandikwa ni ukweli?
Joinee hizi habari za lini: UPDATE 1-Tanzania first quarter growth slows, hurt by manufacturing, construction
Huyo mleta mada kwa kutafuta kuhadaa watu kazifanya hizi habari ni mpya, na wewe unashangalia tu.
Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Mjinga mwenyewe
Then tujitengenezee wenyewe mfumo wa kujipima kiuchumi...!!! Labda tutumie maoni ya wa Tanzania, wao wanasemaje? Uchumi wao unapanda?Kwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.
Bi mkubwa,Na wewe umeona yaliyoandikwa ni ukweli?
Joinee hizi habari za lini: UPDATE 1-Tanzania first quarter growth slows, hurt by manufacturing, construction
Huyo mleta mada kwa kutafuta kuhadaa watu kazifanya hizi habari ni mpya, na wewe unashangalia tu.
Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Habari ni ya kweli na ni ya mwaka jana. Hakuna aliyekataa hilo na link nimeweka juu huko.Bi mkubwa,
Mtoa mada yupo sahihi kwa nia lakini amekosea kwa jinsi alivyoileta hii habari. Most likely ni kwa sababu ya kuingiza propaganda kwenye mambo ambayo hayafahamu.
Habari aliyoitumia kusema kuwa tulipewa onyo ni habari ya mwaka jana, na ni habari ya ukweli kutoka Reuters. Ila hilo onyo kutoka IMF halikuzuia Tanzania kufikia GDP increase (annual) ya 7% ingawa hiyo habari ilituonya kuwa tunaweza tusifikie hiyo 7% na walikuwapo kina Zitto, na vinyamkela wake humu wakisema hatutafika lengo hilo.
Fast forward one year later, hawa jamaa bado hawaoni aibu na wanatumia Provisional first quarter GDP na kufananisha na revised first quarter GDP ya Last year. Provisional first quarter GDP growth ya 2016 ilikuwa 5.6% na walipiga kelele sana mwaka jana humu wakisema tutakuwa Zimbabwe, leo hatuwaoni hao.
Jambo linguine ambalo hawa jamaa hukwepa, ni regional GDP growth performance. Rwanda, Kenya, Uganda zote zimeshuka (Rwanda significantly) lakini huwezi kuwasikia wakisema hizo nchi zitakuwa Zimbabwe.
All in all, naomba mungu atunusuru sana na upande unaoshabikiwa na hawa jamaa, maoni yao na propaganda zao zinawafanya wajione waelewa sana wakati kiukweli ni mahok bin mahok.
Lakini ukweli ni kwamba hiyo habari ya gdp growth kushuka ni ya ukweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]ALipokuwa waziri tulikuwa tukimuamini alipokuwa anataja manamba toka kichwani kumbe alikuwa anapiga na free style humo humo. Namba Ikimjia yoyote anatupia. watu weuwee.
Kwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.