Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Kwani hakuna wizi mkuu?
 
🤔🤔🤭 Makubwa
It make sense

Jus thinking aloud....
Sa mbona bashite km sio team hii?
 
Aisee hivi kwann tusijikite kwenye solar tu?
Umeme ni kero
 
Kupitizia thread kama hizi mnazidi kumtia pressure mzee wa watu. Mtafanya mpaka superblack idunde, mvi zionekane.

Kama ana kamati yake ya ufundi wa jadi itakuwa inapiga pesa ndefu kwa sasa.
Baba yake na mume wa Da Zamaradi si ndio nasikia ni mganga wake[emoji2]
 
Siamini kwamba ndio wewe umeandika hivi,huu mwandiko sio wako kabisa, mbona umechapia hivyo au ndio umeandika kwa mhemko
 
Kupitizia thread kama hizi mnazidi kumtia pressure mzee wa watu. Mtafanya mpaka superblack idunde, mvi zionekane.

Kama ana kamati yake ya ufundi wa jadi itakuwa inapiga pesa ndefu kwa sasa.
Jamaa sijui atapaka super black mpaka lini...hizi ni dalili za mtu mwenye akili ndogo! Characterized by kutojiamini,Unyonge,undumilakuwili,woga ,uchawa nk
 
Wewe empty kabisa. Lowasa alitolewa kafara na JK Kwa ahadi za uongo.
Wewe amini unavyoamini, labda una habari ambazo hazikuwepo bungeni. Bungeni tuliona ripoti ya Mwakyembe ndiyo ilimfanya aachie ngazi.

Sasa hii leo ni ripoti ya CAG, hakuna halamshauri ambayo haina dosari, kwa miaka yote yeye ndiye mkuu wa halmashauri zote. Kassim anangoja nini?
 
Ningekua rais ningefuta vyeo vingine vyote sijui waziri mkuu,makamu wa raisi,dc,das,Ras vyote futilia mbali, mawaziri wangekua 20 tu na hao hao wangekua wabunge,,, hizo hela zingeenda kufanya maendeleo mingine sio kujaza watu hata wanavyofanya havionekani,,
 
Hapa iko sababu! Yaani Faiza ampige vijembe Mujahideen mwenzake? Sio bure labda Majaliwa ana kamchanganyiko na upande wa pili. Maana faiza hata kumuonyesha punda na kumwambia huyo ni mwenzetu katika imani hatajali kuwa ni punda atamtetea tuu
 
Huyo mke wake ni upande wa pili ... ndio maana mujahd wanaona sio conco...
 
Ndugu tanganyika fc,unahakikaaa?
 
we kalale uwezo wako ni mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…