Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

Hii inasaidia nini wakati yeyote watakayemuweka atashinda tu kwa katiba na tume iliyopo??
hawekwi yeyote ilimradi watamsaidia ashinde.

anawekwa mtu ambae akisaidiwa anasaidika, sawa JPM walimptsha kibabe ila unaona yaliyokuja tokea Mwamba alibebwa akabebeka akajibeba.

sio tu kisa utapitishwa ndio uwe kilaza, sio kwa ccm hiii
 
Kwani yeye ana Hati miliki ya kuwa PM Hadi asitolewe?

Mbona wafuasi wake hamjiamini? Ndio kawatuma?

Ukipwaya unapigwa chini
 
Katelephone Hana mamlaka ya kutumbua hawamu hii. Mwenye mamlaka kakaa Kimya. Ni kama enzi za JK tu. Kutumbua mtu ni ishu kama sio yeye kaamua
 
Akifanikiwa kumungoa tu, kitakachofuata ni zamu yake na yeye kungolewa ili na yeye ayapate machungu ya kuwangoa wenzake...
kitendo cha kumg'oa Majaliwa kitatIkisa ccm na nchi huyu bwana utendaji wake umekwishakubalika kuliko kiongozi yeyote na wananchi. He is a fighter ila mazingira ndiyo yanayomlemea
 
Acha wamtengenezee ajali maana nae kazidi uking'ang'anizi
 
HV huyu mzee Ana shida gani ,HV ccm inawazaga nin


Ni hvi majaliwa baki hadi 2025 alfu chukuwa fomu kupambna. Na yoyote aliyembele yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…