Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mruhusu PM awafukuze mawaziri na makatibu wakuu.Swali la kijinga hilo, wizara zote zipo chini ya waziri mkuu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mruhusu PM awafukuze mawaziri na makatibu wakuu.Swali la kijinga hilo, wizara zote zipo chini ya waziri mkuu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
HakikaKwa namna mfumo ulivyo hata wakimwondoa wakimwacha ni yale yale, zaidi ni kuwapa mzigo watanzania kuwa na Mawaziri mkuu kibao wanatunzwa na Taifa hadi kifo.
Nani alimkataza?Mruhusu PM awafukuze mawaziri na makatibu wakuu.
hawekwi yeyote ilimradi watamsaidia ashinde.Hii inasaidia nini wakati yeyote watakayemuweka atashinda tu kwa katiba na tume iliyopo??
Sasa Kassim Atafanya Kazi GaniCheo cha waziri mkuu kilipaswa kufutwa kabisa,
Kwani yeye ana Hati miliki ya kuwa PM Hadi asitolewe?Teuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Wewe una mtindio wa ubongo!Kalemani alikuwa takataka
Kumtoa PM ni jambo jepesi sana
Katelephone Hana mamlaka ya kutumbua hawamu hii. Mwenye mamlaka kakaa Kimya. Ni kama enzi za JK tu. Kutumbua mtu ni ishu kama sio yeye kaamuaWewe amini unavyoamini, labda una habari ambazo hazikuwepo bungeni. Bungeni tuliona ripoti ya Mwakyembe ndiyo ilimfanya aachie ngazi.
Sasa hii leo ni ripoti ya CAG, hakuna halamshauri ambayo haina dosari, kwa miaka yote yeye ndiye mkuu wa halmashauri zote. Kassim anangoja nini?
Naona kakurupukaMpuuzi kweli.kwanba hayo madudu yanefanyika wakati wa majaliwa tu awamu nyingine hakuna?
Achana nae huyo
kitendo cha kumg'oa Majaliwa kitatIkisa ccm na nchi huyu bwana utendaji wake umekwishakubalika kuliko kiongozi yeyote na wananchi. He is a fighter ila mazingira ndiyo yanayomlemeaAkifanikiwa kumungoa tu, kitakachofuata ni zamu yake na yeye kungolewa ili na yeye ayapate machungu ya kuwangoa wenzake...
Acha wamtengenezee ajali maana nae kazidi uking'ang'aniziTeuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Huu utawala unaofata haki na sheria. siyo wa "kutumbuwana" kijinga.Katelephone Hana mamlaka ya kutumbua hawamu hii. Mwenye mamlaka kakaa Kimya. Ni kama enzi za JK tu. Kutumbua mtu ni ishu kama sio yeye kaamua
Waziri wa TAMISEMISasa Kassim Atafanya Kazi Gani
HV huyu mzee Ana shida gani ,HV ccm inawazaga ninTeuzi ya Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu, teuzi ya Makonda kuwa msemaji wa CCM na blah blah za wabunge kuicharukia serikali ni mpango kamili na kabambe katika kutengeneza njia ya kumng'oa Kassim Majaliwa kwenye nafasi ya waziri mkuu. Kila kitu kwa 100% kimepangwa na kinachoendelea ni utelekezaji tu. Ni ama aachie ngazi kabla ya mwaka huu kwisha au wakati wowote mwakani.
Hakuna kipya au kitu cha ajabu, aliyebakia na asiyetakiwa ni Majaliwa tu. Magufuli alishatolewa, Ndugai alishatolewa, Lukuvi alishatolewa, Kabudi alishatolewa, Bashiru alishatolewa nk. hakuna kilichobakia wote wameshakwenda, bado Majaliwa tu, na safari yake ya kutolewa kwa 90% imeshaiva, ajiandae kukaa benchi.
Kafanya nni huyu babaa mchapakaziAondoke tu hana msaada wowote kwa nchi, kwanza afikishwe mahakamani kwa uhujumu uchumi