Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Maoni ya Wasomi wahadhiri wa vyuo vikuu juu ya Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Yasikilize kwa umakini mzee wangu Mohamed Said

Audio:
[/QUOTE]
 
Yericko,
Katika hayo yote uliyosema lililo la kweli moja tu kuwa mimi naipenda dini yangu Uislam kiasi nilipoona historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika imeandikwa lakini mchango wa wazalendo Waislam hawamo, nilinyanyua kalamu na kuandika kitabu kizima.

Hili kuwa wewe unanimudu mimi hapa unajitutumua hilo hawajaliweza wenye elimu kupita wewe utaliweza wewe?

Huwezi kupambana na mimi kwa kuandika "kitabu" kimoja ulichochapa mwenyewe bila "publisher."
 
Maoni ya Wasomi wahadhiri wa vyuo vikuu juu ya Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.

Yasikilize kwa umakini mzee wangu Mohamed Said

Audio:
[/QUOTE]
Yericko,
Nimeona na kusikiliza audio na nimeyasikia maneno ya Dr. Ponera.

Lakini katika ''book review,'' watu huandika na ''review,'' ikachapwa
katika jarida husika kama Journal of Modern African Studies au Cambridge
Journal of African History.

Hii kuweka audio 1.36 min. haiwezi kuwa hii ni ''review,'' ya kitabu
chako.

Hata hivyo muombe Dr. Ponera aandike ''review,'' ingawa yeye ujuzi
wake ni katika Kiswahili.

Hapana neno huenda ikakusaidia wewe kufahamika na pia kitabu chako
wasomaji wakajua umeandika kuhusu nini.

Kuhusu maneno aliyozungumza Dr. Ponera mimi sitasema lolote labda
watu wengine wanaweza wakasema kitu.
 
Aisee Allah ni mwema sana na aliniongoza vema sana ktk kuchangia mjadala huu mwanzoni kabisa.

Mzee wangu Mohamed Saidi naendelea kukuona ktk jicho lile lile la mwanzoni mwa uchangiaji wangu.

Wewe mzee wetu si mtu wa kawaida...ukiletewa vielelezo unawataka review,ukiletewa review ya audio unataka ya masaa mawili ukiletewa na hiyo unataka iliyoandikwa,ukiletewa unataka isiyoandikwa na Dr Ponera.
Aisee!!!
 
Ridhwani,
Sijui kwa nini unahangaika na hili jambo.
Vielelezo gani niletewe mimi kwa kutaka kusadikisha nini?

Kitabu chake ni kwa wasomaji na hao watakaofanya ''review,''
kama kitapata watu wa kufanya.

Ikiwa unadhani vitabu vinafanyiwa review kwa audio na kwa
kumfuata mtu ofisini kwake mimi sina tatizo.

Mimi nimemgusa Yericko pale aliponitaja katika historia ya
TANU na ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Naingia Maktaba In Shaa Allah kutafuta barua kutoka kwa
Prof. Ali Mazrui labda itatoa picha vipi mambo haya yanavyo
takiwa kufanywa.
 
Zanzibar na ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Naingia Maktaba In Shaa Allah kutafuta barua kutoka kwa
Prof. Ali Mazrui labda itatoa picha vipi mambo haya yanavyo
takiwa kufanywa.

Ndugu zangu,
Naweka hapo chini Fax Message niliyopokea mwaka wa 1999 kutoka kwa Prof.
Ali Mazrui
akinifahamisha kuhusu ''critique,'' aliyofanya dhidi ya Prof. Gates.

Katika ujumbe ule Prof. Mazrui ameniandikia maneno haya ''...that is why
books like yours about Muslim contributions to African liberation
are so valuable. Indeed they are crucial. Please keep up the good work.''

(3 May 1999)

FEB3CBCbLM8LBjy-h6QImoltXeITG6er-busLHV1yAEJIpbm1pj7kr4aPuMbE4y4Esuqwim1lkcjQILQ-Jg07Muz8n4EEOUxJ3PAB3zwNDgS-s304po7qrGFxT0dNjaFclogBurFiggwz86Cze4b8a0tU1iFGetDvE5qsPQZuZbUkFIg85CIGpbi_qMS3sVVrKV4ykS3ZIPpUq9cHD_qjysx_mU8GPNzERsz84S_5Gu7AN9AFmf8QM66S-A3061cTdtTadgCI5mynEUHmDnUXXJ87rxeyaEUEYe3EKSyAqX_clNRao_DwiOCXWOCM3Dy6x0Hgz5nlnK6u_0gPPA2oH0kHoZGVa0hh3_RAtLGEawNkM4G6EiZUoAtyPnOKuDqcGLca1vNSeC1L4gx7IcogRYyQWTzqmAtwHjfYKl5vhKnPdTcBfdYMTh1zRgDuEpWh0yF2GjZdbPkJFjIfxG-fX20OYLK9ROlO7Yl3WJV3AJIOoZnrjt5uTkNZa6zyJLPuKaeAVpg0-gHyUfQ48O9IGdjWOdrUsDO9Jz2Tj3q2xTWnZRgj6tdG5YivIe_x1J2wAGRVqJyMWcH_DPsEO299ZGdhUxKOnDz9xdNOUbI=w840-h629-no

rIldqmEUupwvN0CDErhGcxVPdphSN7KiEKMqSmeUl1XInWTi13t_xrVWagh66mECa2vl2Z5n9kPo5CwxibxuPZkL08408eHbJU068xgnyBrciooktxCq_akCw6Zx5bghJ7kvaVHYZ2HjR6RXRgmMyOhLEaY_MeVOUbNc9Kr31QZnsvw7Mk4OBghbCrYDqnW-JD14fuv9bxNX1lLR0liCTxlkHJZpOgnxVbJrehdwW5X3YE6XTzifDZnh4lj5yC9Zl3whnFuezcEtcswj9gsrnYdPmYeopG3E8HCxsl5Q-BrHt8iG3YpzyKl4BSFWlyh9Fi3j5Khwt3IoVlNS7V0wpIZUK0XCpf-K87Z4qwH3Vl6MZcxeYkNw6ZX6BZy7AyewWvLK9hjoVJY8Nx45qW74eKGII297lvIUHlfM2uImQFfuc3LAkBYso_zX65nXw2UW3WryrMkvxDEiZQPE8ATVLVLzBQn0Bg379Zt6bPYEi8aKOvgILLPQV2w6D5Re20JzfRRJG18q_CCJQNDmYyixKaV98Q2WlBHbTspew1R3UarSP-ygbPLiblgptupAuOtwgcSMbPM63eUwjXwdGxstWDZi0v1N_NhCDON3MFpN=w433-h629-no
 
Msamehe huyo mzee ni rafiki yangu yupo Buguruni Malapa ni mfuasi mtiifu wa Mohamed Said....

Hawa wazee wote ni watu ninaowamudu vizuri, niliwahi kubishana nao hapa miaka miwili mfululizo usiku na mchana, wana chuki sumu ya koboko inasubiri...wadini hasaaaa
Udini umetoka wapi ndugu yngu Yericko nyerere tunachotaka ni ushahidi mzee mohamed anao umejaribu kusoma vitabu vyake mfano mdogo rudia nilichokuandika nikaweka na picha na kkumbusha wapi tulikutana nk ndio kitu tunachotaka ndugu yngu wote tunataka kujenga nyumba moja aina aja kugombea fito...
 
nimemsoma rubawa anaonekana kuwa ni mfuasi mtiifu wa said mohamed kiasi kwamba kwa yeye haoni hata sababu ya kutafakari yale yanayosemwa na ustaadhi mzee wetu said mohamed. kitu ambacho naona ni kibaya sana kwa ustawi wa akili. yeye anachosisitiza ni kuwa fuata kile kinachosemwa na mzee said naye atafurahishwa nawe.
Kuna ubaya kuwa mfuasi wa mtu fulani tunachotaka ni ushahidi sio kuleta mambo ya mfuasi wa fulani tuache ushabiki usio kuwa na sababu...
 
Mimi siku zote nasema Yeriko sio mtafiti anachokifanya ni kuunga maandishi ya watu na kijifanya kaandika yeye huwezi kumlinganisha Yeriko na gwiji kama Dr Mohamed Said tatizo vijana wengi ni wavivu wa kusoma wakiona porojo za kina Yerico wanajua wao ndio watunzi
 
Aisee Allah ni mwema sana na aliniongoza vema sana ktk kuchangia mjadala huu mwanzoni kabisa.

Mzee wangu Mohamed Saidi naendelea kukuona ktk jicho lile lile la mwanzoni mwa uchangiaji wangu.

Wewe mzee wetu si mtu wa kawaida...ukiletewa vielelezo unawataka review,ukiletewa review ya audio unataka ya masaa mawili ukiletewa na hiyo unataka iliyoandikwa,ukiletewa unataka isiyoandikwa na Dr Ponera.
Aisee!!!
Huyo ndie Mohamed Said, ni kiumbe cha ajabu sana sana, ana gubu lisilosimulika kabisa....

Ameletewa kila aina ya ushahidi wa kinyaraka, anahamisha magoli.... Hahaaaha daaah ni wakumsamehe tu huyu mzee... Ni mnafiki haijapatapo kutokea duniani....
 
Mimi siku zote nasema Yeriko sio mtafiti anachokifanya ni kuunga maandishi ya watu na kijifanya kaandika yeye huwezi kumlinganisha Yeriko na gwiji kama Dr Mohamed Said tatizo vijana wengi ni wavivu wa kusoma wakiona porojo za kina Yerico wanajua wao ndio watunzi
Hongera kwa kuchangia ndugu
 
Wewe ndo umekuwa ukifanya ushabiki sababu ya ufuasi kiasi unaona mwingine anapokosoa unayemfuata basi anakosea. Mimi nmemsoma said mohamed na mara nyingi nmekuwa nikiona sheikh wangu anakosa urari wa hoja zake kwa sababu kubwa moja.ametanguliza itikadi ya dini kwanza.kiasi kwamba hata kwa waislamu wengine wanaona kama hili jambo linapoteza ithibaki kwa kiasi kikubwa katika maandiko yake.hutizama kwa upande mmoja tu kwa jicho la chuki dhidi ya upande mwingine.mimi simlaumu hata kidogo sababu kwa mtizamo wake yu sahihi.lakini wakati mwingine anajenga hali ya kufanya waislamu siku zote waonekane ni helpless.na ni dhana hii ya malalamishi dunia nzima inayonifanya nianze kuhoji kulikon mimi nionewe kila sehemu?

Anyway... Ufuasi ni upofu.ukishakuwa mfuasi tayari unapoteza uwezo wako wa kuona na kutafakari.unafuata tu alichosema x na kwa mtu atakayempinga unaona anakosea. Nimesoma kitabu cha yericko sijamaliza lakini nmeona ametoa vielelezo na ushahidi mzuri tu. Kuliko malalamiko ya kila siku ya mzee said. Nmeshangaa anaposema umekosekana ushahidi.ila anataka yeye aaminiwe kama unavyotaka wewe tumwamini kama unavyomwamini. Nadhani ungepinga kwa hoja kilichoandikwa kwenye kitabu cha yericko.kwa hoja mujarab.

Kuna ubaya kuwa mfuasi wa mtu fulani tunachotaka ni ushahidi sio kuleta mambo ya mfuasi wa fulani tuache ushabiki usio kuwa na sababu...
 
Ukikosa wewe kuwa msomaji usije ukadhani ni wote. Wengine tunachelea kujinasibu tumesoma vitabu gani na vingapi.lakini pia tumesoma maandishi na stories nyingi za mzee said kiasi kwamba huwa tunajua mapema tu uelekeo wa bandiko lake ni upi kabla hata ya kumaliza kusoma. Hatuwez kuwa wasomi ikiwa tutatanguliza itikadi katika mambo ya kitaaluma

Mimi siku zote nasema Yeriko sio mtafiti anachokifanya ni kuunga maandishi ya watu na kijifanya kaandika yeye huwezi kumlinganisha Yeriko na gwiji kama Dr Mohamed Said tatizo vijana wengi ni wavivu wa kusoma wakiona porojo za kina Yerico wanajua wao ndio watunzi
 
Nikushukuru sana mzee wangu kwakunikumbusha vema,

Mohamed Said ni mmoja ya watu muhimu walionifundisha historia, nitakuwa mjinga sana nisipomshukuru na kumheshimu mzee huyu, na katika kitabu changu nimemtaja kama mmoja ya watu muhimu ambao vitabu vyao nimevirejea....

Kitabu tunachokabidhiana hapo kwenye picha ni kitabu cha majaribio tu kikiwa na sura 4 na kurasa 200 tu, lengo la kukichapa ilikuwa ni ushauri wa vyombo vya dola kuona mapokeo ya umma, baada ya mapokeo kuwa mazuri kilihaririwa upya na kuchapwa upya kikiwa na sura 6, kurasa 715, vilelezo 366, vielelezo siri 88, vielelezo huru 34, nyaraka 18 nk....

Kitabu hiki toleo la pili kimechimba historia ya mapinduzi kwa undani wake, hata yale Mzee Mohamed Said na wengine hawakuyajua yamo...

Kimechimba juu ya Abeid Karume, mauaji yake na mapito ya Zanzibar hadi leo hii.

Nje ya hapo kitabu kimebadili kabisa ngano za Mohamed Said juu ya historia ya Uhuru wa Tanganyika, Yale asiyoyapenda Mohamed yote yameletwa pamoja, hasa hasa uratibu na ushiriki wa Kanisa katoliki kupitia shirika lake la kijasusi la Jeisuti juu ya Uhuru wa Tanganyika...

Mambo haya ni mapya kwa Mohamed Said na wengine....ni lazima alipuke kwa hofu...

Mwaka 2013 tulikutana hapa jamvini katika mjadala uliochukua mwaka mzima hapa mimi nikikosoa ngano za Mzee Mohamed juu ya Uhuru akiunasibisha na uislamu wa Dar na kuwatenga waamini wengine kabisa... Nilimuonya kuwa mimi nitazifuta ngano zake na kusimama kwenye mlengo mwingine kabisa... Naam nimefanya hivyo... Leo watu wamejua nani alikuwa nyuma ya uhuru, nani alikuwa nyuma ya Julius Nyerere, nani alikuwa kiungo muhimu mpaka uhuru....

Haya ni mageni kwa Mohamed, mlipuko wake niliutaraji, hapa analipuka huku bado kabisa hata kitabu hajakisoma kabisa, ila anaona hizi dondoo tu ameanza kuja na kejeli na matusi lukuki dhidi yangu...

Kitabu kimeshapata sifa ya kitaifa na kimataifa, yeye amesema hakinunuliki, sijui anataka aje niwe namuonyesha kuwa huyu kanunua na yule kanunua....

Wataalamu na wasomi leo wanapendekeza nitunukiwe shahada mbili za uzamivu kwa kuandika kitabu kimoja tu, na wamefurahishwa sana katika historia na ujasusi.... Leo mzee wa ngano za kariakoo anakuja na matusi juu...

Katika madai ya Mzee Mohamed anasema kwamba nimenakili yaliyoandikwa, ukweli nikuwa wa wale waliobahatika kukisoma kitabu changu wataona maandishi yote yakunakili yanamarejeo na nyaraka mwishoni nyuma ya kitabu... Labda uwe mvivu na mwenye wivu uliovuka mipaka kama wa mzee Mohamed Said.

Nikushauri kama ulivyotushauri sisi kipindi kile 2013 kwamba historia yako tuipinge kwa kuandika kitabu, nawe ni wakati wakupinga kitabu cha Ujasusi wa Kidola naKiuchumi kwakuandika kitabu, nje ya hapo ni porojo tu mzee.... Na zaidi unanisaidia sana kunadi kitabu... Weekend nitakutafuta tupate sharubati na vibansi pamoja
Una misemo, eti Mzee wa Ngano za Kariakoo !
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapi Bibie Faiza?
 
Lete hoja kwa ushahidi Yericko ndugu yngu achana mambo kufikirika lini wapi kanisa lilikuwa bega kwa bega ktk kupingania uhuru wa nchi hii pia ktk uandishi jifunze kueleza wapi umetoa maandishi kmc utakuwa umecopy sehemu hakika khs mapinduzi kitabu cha kwakheri ukoloni kwakheri Uhuru kimemaliza kila kitu na kuthibitisha kuwa yale yalikuwa mavamizi jaribu kumsikiliza marehemu Aman Thani Ferouz kwenye yutube...
Nenda kanunue kitabu chake ukisome utapata majibu.

Kwanini unataka kutafuniwa na kumezeshwa pia?

Kwanza ulishamaliza kusoma na kukielewa hata kitabu kimoja cha MS?
 
Nenda kasome ewe ndugu Muislam wacha ngebe mfu.
Azarel,
Ukija na lugha kama hizi za matusi utaharibu mjadala kwa kuwa
tutawakaribisha watu hodari kwa matusi kukushinda.

Huu ni mjadala tu hatugombani.
Tuwe waungwana na tuheshimiane.

Kuhusu kusoma nimemsoma vizuri Yericko naingia Maktaba ili
nikuonyeshe kuwa nimemsoma Yericko kwa karibu sana.
 
Mzee mimi sijakuandikia wewe hili, nimequote aliyoandika Rubawa.

Kuandika matusi sio sifa ya kujivunia mtu mwenye akili, na hata hapo sijaandika tusi lolote.
 
Kuna ubaya kuwa mfuasi wa mtu fulani tunachotaka ni ushahidi sio kuleta mambo ya mfuasi wa fulani tuache ushabiki usio kuwa na sababu...
Wewe ni mfuasi wa Mohammed Said binafsi au kazi yake uliyoisoma?

Hebu nitajie kitabu kimoja ama viwili vya Mohammed Said ulivyovisoma na kuvielewa kisha namimi nikueleze nilivyoelewa.

Karibu.
 
Wewe ndo umekuwa ukifanya ushabiki sababu ya ufuasi kiasi unaona mwingine anapokosoa unayemfuata basi anakosea. Mimi nmemsoma said mohamed na mara nyingi nmekuwa nikiona sheikh wangu anakosa urari wa hoja zake kwa sababu kubwa moja.ametanguliza itikadi ya dini kwanza.kiasi kwamba hata kwa waislamu wengine wanaona kama hili jambo linapoteza ithibaki kwa kiasi kikubwa katika maandiko yake.hutizama kwa upande mmoja tu kwa jicho la chuki dhidi ya upande mwingine.mimi simlaumu hata kidogo sababu kwa mtizamo wake yu sahihi.lakini wakati mwingine anajenga hali ya kufanya waislamu siku zote waonekane ni helpless.na ni dhana hii ya malalamishi dunia nzima inayonifanya nianze kuhoji kulikon mimi nionewe kila sehemu?

Anyway... Ufuasi ni upofu.ukishakuwa mfuasi tayari unapoteza uwezo wako wa kuona na kutafakari.unafuata tu alichosema x na kwa mtu atakayempinga unaona anakosea. Nimesoma kitabu cha yericko sijamaliza lakini nmeona ametoa vielelezo na ushahidi mzuri tu. Kuliko malalamiko ya kila siku ya mzee said. Nmeshangaa anaposema umekosekana ushahidi.ila anataka yeye aaminiwe kama unavyotaka wewe tumwamini kama unavyomwamini. Nadhani ungepinga kwa hoja kilichoandikwa kwenye kitabu cha yericko.kwa hoja mujarab.
Upo sahihi GuDume
 
Back
Top Bottom