Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

Tuzo gani hiyo sasa yenye mashart hivyo. Nayo ni rushwa na ubabaishaji kama ndivyo.
Hongera sana afande kwa kujisimamia.
JESHI LA POLISI ANGALIENI MOTISHO ZINGINE SIO LAZIMA CHEO TU.
 
Ukishapandishwa hakuna kozi tena, wanaokwenda kozi ndio wanafanya kozi ukihitimu unapandishwa cheo.

Huyo Polisi kuwagomea yuko sahihi, yani upewe Degree halafu ndio uanze kusoma uliwahi kuona wapi?
Hauko sahihi,majeshini ni tofauti, kama ulipandishwa cheo pasipokwenda kozi,basi ikitokea chance ya wenzako kwenda hiyo kozi basi ni lazima nawe uhudhurie mafunzo stahiki.
 
Ukishapandishwa hakuna kozi tena, wanaokwenda kozi ndio wanafanya kozi ukihitimu unapandishwa cheo.

Huyo Polisi kuwagomea yuko sahihi, yani upewe Degree halafu ndio uanze kusoma uliwahi kuona wapi?
Yaani Musukuma akasomee PhD hii sio sawa
 
Kwa hyo hapo topic NI kukataa rushwa ya milioni 10.?
Apambane na Hali yake
 
Kwani hao wakuu wanapopandishwa vyeo huwa wanaenda tena coz?
Ukishavuka kozi ya GO kupanda cheo sio mpaka uende kozi tena,kwa police GO ndiyo cheo cha mwisho kuhudhuria trainings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…