Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

Huyu alipopandishwa cheo akatakiwa aende kozi kama ilivyo utaratibu wa jeshi akagoma akavuliwa cheo alichopewa
 
Kama walipompandisha cheo walipandisha na mshahara wake basi wakimvua cheo mshahara unabaki pale pale kwahiyo sio mbaya.
 
Back
Top Bottom