Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

Huyu askari anaonekana naye dishi lina hitilafu , waandishi wa habari watamponza
 
Habari ndo hiyo..
20240127_132032.jpg
 
Huyo asikari alikataa rushwa akapandishwa cheo alipo pandishwa cheo akawa mtovu was nidhamu huenda alionywa akusikia kashushwa cheo basi atulizane limbukeni akipata matako hulia mbwata pata pesa tujue tabia yako.
Ukweli ni kwamba, alipopandishwa cheo...alipewa post ya kwenda kusoma aendane na cheo akagoma...ni hivyo tu na si lingine
 
Anastahili kushushwa cheo hawajakosea shida kichwa cha habari mtu anaweza kudhani kakataa rushwa ndipo akashushwa cheo.
Ukweli ni kwamba, alipopandishwa cheo...alipewa post ya kwenda kusoma aendane na cheo akagoma...ni hivyo tu na si lingine
 
Hata dereva akipewa daladala alete hesabu,, asipofikisha hesabu za boss anapokonywa gari.

Asivuruge hesabu za watu..
 
Back
Top Bottom