Ukishapandishwa hakuna kozi tena, wanaokwenda kozi ndio wanafanya kozi ukihitimu unapandishwa cheo. Huyo Polisi kuwagomea yuko sahihi, yani upewe Degree halafu ndio uanze kusoma uliwahi kuona wapi?
Ukishapandishwa hakuna kozi tena, wanaokwenda kozi ndio wanafanya kozi ukihitimu unapandishwa cheo.
Huyo Polisi kuwagomea yuko sahihi, yani upewe Degree halafu ndio uanze kusoma uliwahi kuona wapi?
Unaongea vitu gani wewe? Unachoongea ndio utatatibu ulivyo au ndio unachokijua? Kusoma ni lazims hata ukiwa na degree kwenye kazi Kuna short kozi kwaajili ya kuongeza ufanisi kwenye kazi husika.