Ni utaratibu,askari ukimpa cheo lazima aende kwenye mafunzo kujua majukumu ya hiko cheo,wewe unadhan motisha gani nyingine itafaa?Tuzo gani hiyo sasa yenye mashart hivyo. Nayo ni rushwa na ubabaishaji kama ndivyo.
Hongera sana afande kwa kujisimamia.
JESHI LA POLISI ANGALIENI MOTISHO ZINGINE SIO LAZIMA CHEO TU.
IJP ni sawa mkuu tusilete ujuaji kwenye hata mambo yaliyo nje ya taaluma zetu. Barua imeandikwa kwa lugha ya kiswahili, IGP ni Englisheti ijp badala ya IGP, press release za polisi zote zina kasoro.jamaa nae kazingua ameshindwa kufake hta ugonjwa aseme anaumwa
Kiswahili gani hicho? Inspector General maana yake Mkuu wa Jeshi?Kiswahili cha IGP (Inspector General of Police) sio IJP (Inspekta Jenerali wa Polisi).
Kiswahili chake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (MJP)
Ukishapandishwa hakuna kozi tena, wanaokwenda kozi ndio wanafanya kozi ukihitimu unapandishwa cheo. Huyo Polisi kuwagomea yuko sahihi, yani upewe Degree halafu ndio uanze kusoma uliwahi kuona wapi?
Unaongea vitu gani wewe? Unachoongea ndio utatatibu ulivyo au ndio unachokijua? Kusoma ni lazims hata ukiwa na degree kwenye kazi Kuna short kozi kwaajili ya kuongeza ufanisi kwenye kazi husika.Ukishapandishwa hakuna kozi tena, wanaokwenda kozi ndio wanafanya kozi ukihitimu unapandishwa cheo.
Huyo Polisi kuwagomea yuko sahihi, yani upewe Degree halafu ndio uanze kusoma uliwahi kuona wapi?
Jamaa angu kabla ya kukurupuka kukosoa au kusapoti jambo jaribu kujiridhisha kwanza!eti ijp badala ya IGP, press release za polisi zote zina kasoro.jamaa nae kazingua ameshindwa kufake hta ugonjwa aseme anaumwa
Kuna kitu kinaitwa kutohoa maneno unafahamu hiyo kitu?Kiswahili cha IGP (Inspector General of Police) sio IJP (Inspekta Jenerali wa Polisi).
Kiswahili chake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (MJP)
Mkuu, sijawahi kusikia wala kuona hiyo IJP ikitumika sehemu yeyote hapa nchini ndio maana nime hoji Mkuu, mimi piko huko huko hivo nafahamu sijakurupukaJamaa angu kabla ya kukurupuka kukosoa au kusapoti jambo jaribu kujiridhisha kwanza!
Hiyo abbreviation haina mapungufu kabisa, IJP maana yake ni INSPEKTA JENERALI WA POLISI, kiingereza chake ndiyo IGP yaani Inspector General of Police!
NI hayo tu!
mkuu kwanini umehitimisha mimi sio taaluma yangu ? mimi ni askariIJP ni sawa mkuu tusilete ujuaji kwenye hata mambo yaliyo nje ya taaluma zetu. Barua imeandikwa kwa lugha ya kiswahili, IGP ni English
IJP = Inspekta Jenerali wa Polisi
Kipo kwenye PGO...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, sijawahi kusikia wala kuona hiyo IJP ikitumika sehemu yeyote hapa nchini ndio maana nime hoji Mkuu, mimi piko huko huko hivo nafahamu sijakurupuka
ingekua inakubalika hiyo IJP tungeshakuwa tumeitumia,hili ni jeshi huwez jiundia tu hyo abreviation uitumie,kila kitu cha jeshi kipo kwenye muongozo
ndio sisi hufuata PGO ,kutohoa ni kwa wandishi wa habari BossKipo kwenye PGO...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NI sahihi lakini icho sio cheo kipya, bila shaka jama ametohoa tu maneno yenye maana sawa sawa na yaliyomo kwenye PGO
Hili ni tango pori mkuuKiswahili cha IGP (Inspector General of Police) sio IJP (Inspekta Jenerali wa Polisi).
Kiswahili chake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (MJP)
Sawa sawa, ila kwenye ukamataji nasikia mkiulizwa habari za PGO mnakuwa wakali kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio sisi hufuata PGO ,kutohoa ni kwa wandishi wa habari Boss
Mkuu, taarifa iko sahihi maana hii ni taarifa ya Kiswahili. IJP ni Inspekta Jenerali wa Polisi.eti ijp badala ya IGP, press release za polisi zote zina kasoro.jamaa nae kazingua ameshindwa kufake hta ugonjwa aseme anaumwa
Kuna cheo na Madaraka kule.Kiswahili cha IGP (Inspector General of Police) sio IJP (Inspekta Jenerali wa Polisi).
Kiswahili chake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi (MJP)
Bush lawyers wamemshauri jamaa vibaya.
mkuu, mangu alitambulika kama IGP mstaafu mara tu ya kuondolewa pale,Kuna cheo na Madaraka kule.
unaweza kuwa inspekta jenerali wa Polisi ila usiwe Mkuu wa jeshi la Polisi(Chief of Police Force)
Kuna kipindi Rais alimteua Inspekta Jenerali wa Polisi kuwa Balozi kwakuwa hakuwa amestafu aliendelea kusomeka IGP MANGU kisha akumpandisha Simori Siro kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi na kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi. kule kwa Mapolisi Kuna Cheo IGP na Kuna Madaraka Madaraka yanaitwa CPF yaani Mkuu wa Jeshi la Polisi.