Salaam Wakuu,
Askari Meshack Samson aliyekataa Rushwa ya Mil 10, ameshushwa cho baada ya kukataa kwenda Kozi baada ya kupandishwa cheo.
View attachment 2054803View attachment 2054804
View attachment 2054805
WapoLabda sio askari ni kitu kingine
Arusha hiyoWap hiyo mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuwa walishindwana si kukataa rushwa
labda ni mwanamgambo wa HamasHabari ndo hiyo..View attachment 2884564
HUyu mwarusha sasa anateseka kweli hata kazi hana.Habari ndo hiyo..View attachment 2884564
Ukweli ni kwamba, alipopandishwa cheo...alipewa post ya kwenda kusoma aendane na cheo akagoma...ni hivyo tu na si lingineHuyo asikari alikataa rushwa akapandishwa cheo alipo pandishwa cheo akawa mtovu was nidhamu huenda alionywa akusikia kashushwa cheo basi atulizane limbukeni akipata matako hulia mbwata pata pesa tujue tabia yako.
Kwani utu wake umeshushwa?Mbona wengine tunawashusha chupi na wanatuita "mume kipenzi"?Habari ndo hiyo..View attachment 2884564
Ukweli ni kwamba, alipopandishwa cheo...alipewa post ya kwenda kusoma aendane na cheo akagoma...ni hivyo tu na si lingine