Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

Mjeda na customer care wapi na wapi?[emoji849][emoji849]
 
Hawa migambo wakakamavu, wanaojiita SUMA ni hovyo sana, mm nliwahih bishana nae kidogo nimle kichwa pale BMC mwanza baht yake wakajaa wengi na kuniruhusu niendelee na shughuli zangu,

Kosa SI Lao Bali hua Wana mlimbikizo WA mawazo mno, pia hawakutarajia watakua migambo au wafungua mageti KATIKA kaasisi mb
 
Hii ni point ya msingi sana ila wasioelewa hawawezi kukuelewa,
Haiwezi kuwa ya msingi kwa sababu zifuatazo majeshi yote yanahitaji askari wenye nidhamu. Kuna waliotoka JKT wakajiunga na makampuni mengine ya ulinzi wanafanya vizuri na hawana shina. Shida iko kwa hawa waliobaki na Tag ya JKT, wanajiona SEAL, KGB au Mosad. Wakubwa wao wawafundishe namna gani cooperate security ina operate. Tofauti na hapo watabaki kungángánia malindo machache kwenye taasisi za serikali. Suma JKT SIYO JESHI ni kampuni kama ilivyo kamopuni yeyote ya ulinzi, ndio maana kuanzia uniform wanafanana na kampuni zingine zoote
 
Suma JKT walitakiwa wasipewe kabisa kazi za ulinzi kwenye taasisi za unma. Ni wajeuri na wenye kujiona nao kuwa ni wanajeshi. Wapuuzi sana. Walipewa kiburi na mwendazake baadhi ya taasisi za umma ikawa wao ndiyo walinzi by default wakavimba vichwa na kujiona hakuna kama wao. Wanatakiwa warudishwe makambini huko wakalinde mipaka
 
MIMI NAAMINI KUWA MENGINE TUNAJITAKIA,HIVI ASKARI YEYOTE AKIKUNYANYASA KAMA AMBAVYO WAMEKUWA WAKIFANYA MAUAJI NA UONEVU KWANINI NA SISI TUSIWE TUNA LIPIZA KWANI NAO WANA FAMILIA ZAO,HULA NA KUNYWA KWENYE BAR PIA NAO HUTEMBEA USIKU KWANINI TUSIWE TUNA WAPIGA MATUKIO KAMA SUMU UCHAWI,CHUMA,KUNYONGA NA KUWA CHOMA MOTO HADI MAJIVU NK?
 
Shida ya SUMA JKT NI moja tu Kama shida iliyopo kwa majobless wengi, Dreams are Just like Water vapours, Unaandaliwa kuwa mtu Fulani wa kuheshimika na kutetemekewa ghafla bin vuu unapelekwa kwa vitoto vya farao full madharau, havina heshima no nidhamu , Full madaha eti ukavisimamie , mbona lazima Ujute changanya na mshahara mdogo Maisha hayaeendi mbona lazima upate Mental Breakdown ya kuanza kugombana nao na kuhisi wanakudharau hawakupi Heshima Yako


NB, SUMA JKT, mpunguze makasiriko kushindwa kuwa Bakabaka, FFU, USALAMA, au Askari polisi ni Hali ya kawaida tu katika Maisha , Tuishi.tu
 
Wajitahid Kuwalipa Vizur Hawa Wafanyakaz Wao, Wana Wivu, Njaa Na Chuki Sana Kwa Watumish Na Wananchi Pale Wanapolinda Hii Kuna Siku Italeta Machafuko
 
Vyuo watumie vitambulisho kama kasahau anaweka dole gumba sehemu za gumba zinakua nyingi ili kuondoa mambo ya foleni...niliwahi pita hapo AIAA nikaona pana kundi la wanafunzi linasubiri huruma ya askari wa suma ili wapite...
 

Ongezea :si vizuri wawekwe kulinda mageti wanayokutana na watu wenye akili na reasoning capacity zaidi yao!
 
Naona wote mmeegemea kwenye kumshambulia askari wa SUMA JKT.......kiuhalisia nidhamu na kuheshimiana ni jambo la msingi sana kwenye maisha yetu ya kila Siku hasa sehemu za kazi au jamii zetu..... nidhamu na heshima inatakiwa itoke pande zote mbili ili kuleta msawazo na huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kulingana na nafasi yake.........

Mabinti au wanachuo wengi huwa wanatabia za ujeuri, kejeli na dharau dhidi ya watu wengine wanaowaona wa kawaida kwao......wao kuanza masomo ya chuo wanaona wapo kwenye ulimwengu mwingine kabisa......Kwa kweli unahitaji busara na kiwango kikubwa cha ustahimilivu na uvumilivu ku deal na hao watoto wanaosoma vyuo.......

Kimsingi hao maaskari ni waajiriwa au wapo kwenye hizo taasisi kutoa huduma za ulinzi na usalama.....wanafanya kazi Kwa kufuata sera na miongozo ya taasisi husika kuhusu usalama na amani kwenye sehemu husika au taasisi husika.......bila shaka hata hao wanachuo kabla ya kujiunga na chuo na wao pia hupewa miongozo hiyo..........

Inawezekana askari alimkumbusha Binti jambo la kawaida kuhusu protocol za taasisi hiyo na pengine kwenye kurushiana maneno yule Binti akatoa lugha mbaya na mlinzi naye ni binadamu uvumilivu ukamshinda.........
 
Sema madogo wasikuhizi nao ni wakorofi itakuwa lazima kamzingua mlinzi kwa maneno fulani, mbona mi hapo getini nimepita sana kuna muda unasahau kitambulisho unampiga sound mlinzi unapita , sema dogo utakuta alikuwa hataki kujishusha
 
B
Bro wewe ndo upo vizuri kwenye kureason sasa mimi nimemaliza hapo IAA 2021, Nipo hapo tangu 2016 na hao suma jkt wameletwa hapo chuo kuanzia 2019 navyokumbuka na hakuna tukio lolote limewahi kutokea na wanafunzi wanafuata sheria zote kama code za mavazi kama vile wasichana hawaruhusiwi kuvaa suruali za kubana sana na kuingia getini ni mpaka uonyeshe ID mageti yote kubwa na dogo sema uyo dogo atakuwa kuna maneno kamtupia mlinzi sio mazuri ndo maana kakandwa japo harusiwi kumkanda mtu, mbona watu kibao uwa wanapita hapo getini na sometimes wanakuwa wamesahau ID sema wakifika wanajishusha kwa mlinzi na kwa polite language wanabonga naye wanapita , uyo demu sio student wa kwanza kusahau ID tangu chuo kianzishe huo utaratibu , iweje yeye ndo apokee kipigo, reasoning capacity ya wabongo ndogo sana uwa tunapokea vitu kwa mihemko bila kutuliza akili na kuprove/ judge both side,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…