Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

Huyo dent atakuwa alimdhihaki huyo mjeda kuwa ni divisheni ziro mjeda akapandisha mori
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hii comment imenichekesha sana jinsi ulivyojiongeza,ila kuna kaukweli fulani hivi si unajua watoto wa chuo nyodo zao
 
Sisi suma jkt tuna stress za maisha baada ya ndoto zetu za kuwa askari wa TPDF kufeli......jamaa wa ikulu uliyenitapeli hela zangu na hukunipeleka MSATA nitakuloga kwa kweli
 
Hivi wana lipwa mshahara kiasi gani kwa mwezi hawa Suma Jkt
Pili, wana lipwa mshahara au posho
Je wanapata stahiki zao vizuri
 
Huyo dent atakuwa alimdhihaki huyo mjeda kuwa ni divisheni ziro mjeda akapandisha mori
Kwani ni uongo ?
Suma jkt wengi ni small mind
Wanapenda mamlaka saana na kuingilia majukumu ambayo sio yao

Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi then nikaenda kusoma time nipo masomoni mamlaka niliyokuwa nafanya kazi ikaingia mkataba na suma sasa askari walioletwa pale wakawa wanafanya majukumu mpaka ya ukalani hapa walikuwa wanaomba Saana hela (Kula rushwa) then wanaacha mizigo inaingia na kutoka

Nilivyofika nikawawekea kauzibe kufanya majukumu ambayo sio yao wakanichukia mpaka wa leo
 
Naona wote mmeegemea kwenye kumshambulia askari wa SUMA JKT.......kiuhalisia nidhamu na kuheshimiana ni jambo la msingi sana kwenye maisha yetu ya kila Siku hasa sehemu za kazi au jamii zetu..... nidhamu na heshima inatakiwa itoke pande zote mbili ili kuleta msawazo na huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kulingana na nafasi yake.........

Mabinti au wanachuo wengi huwa wanatabia za ujeuri, kejeli na dharau dhidi ya watu wengine wanaowaona wa kawaida kwao......wao kuanza masomo ya chuo wanaona wapo kwenye ulimwengu mwingine kabisa......Kwa kweli unahitaji busara na kiwango kikubwa cha ustahimilivu na uvumilivu ku deal na hao watoto wanaosoma vyuo.......

Kimsingi hao maaskari ni waajiriwa au wapo kwenye hizo taasisi kutoa huduma za ulinzi na usalama.....wanafanya kazi Kwa kufuata sera na miongozo ya taasisi husika kuhusu usalama na amani kwenye sehemu husika au taasisi husika.......bila shaka hata hao wanachuo kabla ya kujiunga na chuo na wao pia hupewa miongozo hiyo..........

Inawezekana askari alimkumbusha Binti jambo la kawaida kuhusu protocol za taasisi hiyo na pengine kwenye kurushiana maneno yule Binti akatoa lugha mbaya na mlinzi naye ni binadamu uvumilivu ukamshinda.........
Fact mkuuu kuna siku nilifika mahali nikaambiwa kuangia chuo mwisho sa NNE usiku,siku iyo sikuwalaumu wale jamaa sababu ile sharia hawakuitunga wao chuo ndo kilicho weka wao n wasimizi tu wa izo sharia zilizo wekwa na taasisi usika.
 
B

Bro wewe ndo upo vizuri kwenye kureason sasa mimi nimemaliza hapo IAA 2021, Nipo hapo tangu 2016 na hao suma jkt wameletwa hapo chuo kuanzia 2019 navyokumbuka na hakuna tukio lolote limewahi kutokea na wanafunzi wanafuata sheria zote kama code za mavazi kama vile wasichana hawaruhusiwi kuvaa suruali za kubana sana na kuingia getini ni mpaka uonyeshe ID mageti yote kubwa na dogo sema uyo dogo atakuwa kuna maneno kamtupia mlinzi sio mazuri ndo maana kakandwa japo harusiwi kumkanda mtu, mbona watu kibao uwa wanapita hapo getini na sometimes wanakuwa wamesahau ID sema wakifika wanajishusha kwa mlinzi na kwa polite language wanabonga naye wanapita , uyo demu sio student wa kwanza kusahau ID tangu chuo kianzishe huo utaratibu , iweje yeye ndo apokee kipigo, reasoning capacity ya wabongo ndogo sana uwa tunapokea vitu kwa mihemko bila kutuliza akili na kuprove/ judge both side,
Hakika ndugu yangu.....

Sisi wahangaikaji huwa tunayaona mengi sana sehemu mbali mbali......hasa kwenye maeneo ya umma.....sio Siri ni aghalabu sana kumkuta mTanzania mwenye wadhfa au nafasi akamthamini mtu wa chini...hasa hawa ndugu zetu waliojaaliwa kufuta ujinga.......

Katika hatakati zangu nimeingia kwenye maofisi mengi na nimepita mageti mengi sana na kukutana walinzi wa kila aina na sijawahi kukumbana na kadhia yoyote Kwa kuwa nafuata utaratibu wa sehemu husika na kuwaheshimu wenzangu kwenye nafasi zao.......

Labda tu nikiri wazi kuwa Kwa uzoefu wangu kazi ya ulinzi hasa kwenye maeneo ya taasisi au vyuo inahitajika uvumilivu mkubwa mkubwa ili uondokane na kesi na mabalaa maana kuna watu wanadharau mpaka unajiuliza huyu mtu na yeye anavuta pumzi hii hii au ana pumzi yake......

Sote tunatafuta ridhiki kila mmoja kwa nafasi yake....tuheshimiane ili tuendelee kudumu katika mshikamano na upendo....sisi waja hatuijui kesho yetu......
 
Kitu ambacho sielewi hadi leo kwa nini wanawake wanazuiliwa kuvaa suruali za jeans wakiwa maeneo ya shule au kazi. Ni kitu ambacho bado kinatafakarisha maana asipo vaa huko atavaa uraiani hakuna kinacho badirika katika tabia ya mtu.

Jambo lingine linalo shangaza kuelekea ulimwengu wa 2023 ni wanafunzi wa kike kuzuiliwa kusuka nywele zao. Pia wanafunzi kupewa ulazima kuvaa viatu vyeusi kama vile mavazi ndio chanzo cha akili au ufaulu
Kusuka hata mimi nashangaa kwakweli maana ndio utamaduni wetu watanzania na waafrika kwamba mwanamke anasuka lakini habari ya suruali nakushangaa wewe unaouliza kwanini wanawake wazuiwe kuvaa
 
Shida ya SUMA JKT NI moja tu Kama shida iliyopo kwa majobless wengi, Dreams are Just like Water vapours, Unaandaliwa kuwa mtu Fulani wa kuheshimika na kutetemekewa ghafla bin vuu unapelekwa kwa vitoto vya farao full madharau, havina heshima no nidhamu , Full madaha eti ukavisimamie , mbona lazima Ujute changanya na mshahara mdogo Maisha hayaeendi mbona lazima upate Mental Breakdown ya kuanza kugombana nao na kuhisi wanakudharau hawakupi Heshima Yako

NB, SUMA JKT, mpunguze makasiriko kushindwa kuwa Bakabaka, FFU, USALAMA, au Askari polisi ni Hali ya kawaida tu katika Maisha , Tuishi.tu
JKT haandaliwi kuwa polisi, mwanajeshi au vyovyote vile, ndo maana akiomba kazi jeshi lolote anaanza mafunzo upya sawa na mowingine yeyote aliyetoka mtaani, hawa hupewa skills za kawaida tu na kufundishwa matumizi ya silaha
 
Nimesoma comments takribani mpaka 40 wote wanamsema askari na Suma JKT. Acheni roho mbaya mbona hamsemi kuhusu huyo aliyepigwa au yeye ametakasika hawezi kuwa amemkosea kijana wa watu?

Nasimama upande wa askari
 
Hata viongozi nao wote wamekurupuka... yaani wamechukua sheria kwa upande mmoja tu wa askari, vipi kuhusu mdada mwenyewe mnasemaje?
 
Kusuka hata mimi nashangaa kwakweli maana ndio utamaduni wetu watanzania na waafrika kwamba mwanamke anasuka lakini habari ya suruali nakushangaa wewe unaouliza kwanini wanawake wazuiwe kuvaa

Kwa nini wazuiliwe
 
B

Bro wewe ndo upo vizuri kwenye kureason sasa mimi nimemaliza hapo IAA 2021, Nipo hapo tangu 2016 na hao suma jkt wameletwa hapo chuo kuanzia 2019 navyokumbuka na hakuna tukio lolote limewahi kutokea na wanafunzi wanafuata sheria zote kama code za mavazi kama vile wasichana hawaruhusiwi kuvaa suruali za kubana sana na kuingia getini ni mpaka uonyeshe ID mageti yote kubwa na dogo sema uyo dogo atakuwa kuna maneno kamtupia mlinzi sio mazuri ndo maana kakandwa japo harusiwi kumkanda mtu, mbona watu kibao uwa wanapita hapo getini na sometimes wanakuwa wamesahau ID sema wakifika wanajishusha kwa mlinzi na kwa polite language wanabonga naye wanapita , uyo demu sio student wa kwanza kusahau ID tangu chuo kianzishe huo utaratibu , iweje yeye ndo apokee kipigo, reasoning capacity ya wabongo ndogo sana uwa tunapokea vitu kwa mihemko bila kutuliza akili na kuprove/ judge both side,
Hizi makitu zimeanza lini,mbona in 2001 hakukuwaga na kuonyesha ID ni geti ilikuwa moja tu ile ya kubwa ya bada ya kanisani,na hostel zilikuwa mbili tu new hostel na old hostel,na lami ilikuwa inaishia pale relini(general tyre),kumbe nimekuwa mhenga soon ntazuru hapo nione hizo makitu ya kuonyesha IDs
 
Basi umemaliza kitambo sana Njiro sa hivi pameendelea sana ni lami kote na mageti chuoni yameongezwa na majengo yameongezwa chuoni na taratibu kibao simple tu
Hizi makitu zimeanza lini,mbona in 2001 hakukuwaga na kuonyesha ID ni geti ilikuwa moja tu ile ya kubwa ya bada ya kanisani,na hostel zilikuwa mbili tu new hostel na old hostel,na lami ilikuwa inaishia pale relini(general tyre),kumbe nimekuwa mhenga soon ntazuru hapo nione hizo makitu ya kuonyesha IDs
 
Kwa sababu
1. Zinawachora maumbo na kuwaumiza (kwa kutamanisha) wengine
2. Zinasababisha watu wapate taabu kuwatofautisha (kugundua wanawake ni wapi na wanaume ni wapi?)
3. SIYO UTAMADUNI WETU WAAFRIKA HUSUSANI WATANZANIA

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

1: ata dera linaonesha maumbo yao. Ata suruali za kitambaa zinaonesha maumbo yao. Pia sketi na suti za kike zinaonesha maumbo yao. Kutamani ni hulka ya kila kiumbe

2. Wala haileti tabu mwanamke atatambulika ata si kwa mavazi sura inatosha kutambua. Kama mwanamke akivaa suruali ya jeans unashindwa tofautisha na mwanaume utakua na kasoro.

3. Utamaduni wetu ni upi maana historia inasema sisi tulikua tunavaa nguo kutokana na majani na magome ya mti
 
Hivi wana lipwa mshahara kiasi gani kwa mwezi hawa Suma Jkt
Pili, wana lipwa mshahara au posho
Je wanapata stahiki zao vizuri
Hawana posho
Mishahara ni laki 3 huwa wanaombea wapangwe sehemu zenye ulaji kama
Port
Hospital
TRA ofisi
Misitu
Nk
 
Hao SumaJkt huwa wanahisi wao na DVC cheo chao ni kimoja 😀
 
Back
Top Bottom