Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

Nidhamu inatakiwa kwa pande zote.....raia wanatakiwa wawaheshimu askari na askari wawaheshimu raia........ upande mmoja unaposhindwa kuchunga nidhamu Kwa mwenzie ndio majanga yanaanza....... uvumilivu una ukomo wake.....
Mwenye sare, ndio haijalishi mazingira gani, anatakiwa aoneshe upevu, nidhamu na taaluma yake!
 
Mi naona wanafunzi ndo wazembe, mnakubalije mwenzenu anapigwa mnakodoa macho?



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ulitaka wafanyeje labda?

Nawe ungekuwa eneo hilo ungefanyaje tofauti na walichokifanya waliokuwepo eneo la tukio?

Usiwe na ujasiri wa Mange Kimambi kuhamasisha maandanano kwa "on line" wakati yeye akiwa kaficha kichwa chake Marekani.

Pia uelewe vurugu haisuluhishwi kwa vurugu, bali husuluhishwa kwa busara.
 
Back
Top Bottom