mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hii comment imenichekesha sana jinsi ulivyojiongeza,ila kuna kaukweli fulani hivi si unajua watoto wa chuo nyodo zaoHuyo dent atakuwa alimdhihaki huyo mjeda kuwa ni divisheni ziro mjeda akapandisha mori
We mwanangu mkorofiii😂😂Mjeda na customer care wapi na wapi?[emoji849][emoji849]
Kwani ni uongo ?Huyo dent atakuwa alimdhihaki huyo mjeda kuwa ni divisheni ziro mjeda akapandisha mori
Fact mkuuu kuna siku nilifika mahali nikaambiwa kuangia chuo mwisho sa NNE usiku,siku iyo sikuwalaumu wale jamaa sababu ile sharia hawakuitunga wao chuo ndo kilicho weka wao n wasimizi tu wa izo sharia zilizo wekwa na taasisi usika.Naona wote mmeegemea kwenye kumshambulia askari wa SUMA JKT.......kiuhalisia nidhamu na kuheshimiana ni jambo la msingi sana kwenye maisha yetu ya kila Siku hasa sehemu za kazi au jamii zetu..... nidhamu na heshima inatakiwa itoke pande zote mbili ili kuleta msawazo na huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kulingana na nafasi yake.........
Mabinti au wanachuo wengi huwa wanatabia za ujeuri, kejeli na dharau dhidi ya watu wengine wanaowaona wa kawaida kwao......wao kuanza masomo ya chuo wanaona wapo kwenye ulimwengu mwingine kabisa......Kwa kweli unahitaji busara na kiwango kikubwa cha ustahimilivu na uvumilivu ku deal na hao watoto wanaosoma vyuo.......
Kimsingi hao maaskari ni waajiriwa au wapo kwenye hizo taasisi kutoa huduma za ulinzi na usalama.....wanafanya kazi Kwa kufuata sera na miongozo ya taasisi husika kuhusu usalama na amani kwenye sehemu husika au taasisi husika.......bila shaka hata hao wanachuo kabla ya kujiunga na chuo na wao pia hupewa miongozo hiyo..........
Inawezekana askari alimkumbusha Binti jambo la kawaida kuhusu protocol za taasisi hiyo na pengine kwenye kurushiana maneno yule Binti akatoa lugha mbaya na mlinzi naye ni binadamu uvumilivu ukamshinda.........
Hakika ndugu yangu.....B
Bro wewe ndo upo vizuri kwenye kureason sasa mimi nimemaliza hapo IAA 2021, Nipo hapo tangu 2016 na hao suma jkt wameletwa hapo chuo kuanzia 2019 navyokumbuka na hakuna tukio lolote limewahi kutokea na wanafunzi wanafuata sheria zote kama code za mavazi kama vile wasichana hawaruhusiwi kuvaa suruali za kubana sana na kuingia getini ni mpaka uonyeshe ID mageti yote kubwa na dogo sema uyo dogo atakuwa kuna maneno kamtupia mlinzi sio mazuri ndo maana kakandwa japo harusiwi kumkanda mtu, mbona watu kibao uwa wanapita hapo getini na sometimes wanakuwa wamesahau ID sema wakifika wanajishusha kwa mlinzi na kwa polite language wanabonga naye wanapita , uyo demu sio student wa kwanza kusahau ID tangu chuo kianzishe huo utaratibu , iweje yeye ndo apokee kipigo, reasoning capacity ya wabongo ndogo sana uwa tunapokea vitu kwa mihemko bila kutuliza akili na kuprove/ judge both side,
Hadi video Ipo labda mleta Uzi hajalutana nayo.Akijibu niite mbwa, bot huyo
Kusuka hata mimi nashangaa kwakweli maana ndio utamaduni wetu watanzania na waafrika kwamba mwanamke anasuka lakini habari ya suruali nakushangaa wewe unaouliza kwanini wanawake wazuiwe kuvaaKitu ambacho sielewi hadi leo kwa nini wanawake wanazuiliwa kuvaa suruali za jeans wakiwa maeneo ya shule au kazi. Ni kitu ambacho bado kinatafakarisha maana asipo vaa huko atavaa uraiani hakuna kinacho badirika katika tabia ya mtu.
Jambo lingine linalo shangaza kuelekea ulimwengu wa 2023 ni wanafunzi wa kike kuzuiliwa kusuka nywele zao. Pia wanafunzi kupewa ulazima kuvaa viatu vyeusi kama vile mavazi ndio chanzo cha akili au ufaulu
JKT haandaliwi kuwa polisi, mwanajeshi au vyovyote vile, ndo maana akiomba kazi jeshi lolote anaanza mafunzo upya sawa na mowingine yeyote aliyetoka mtaani, hawa hupewa skills za kawaida tu na kufundishwa matumizi ya silahaShida ya SUMA JKT NI moja tu Kama shida iliyopo kwa majobless wengi, Dreams are Just like Water vapours, Unaandaliwa kuwa mtu Fulani wa kuheshimika na kutetemekewa ghafla bin vuu unapelekwa kwa vitoto vya farao full madharau, havina heshima no nidhamu , Full madaha eti ukavisimamie , mbona lazima Ujute changanya na mshahara mdogo Maisha hayaeendi mbona lazima upate Mental Breakdown ya kuanza kugombana nao na kuhisi wanakudharau hawakupi Heshima Yako
NB, SUMA JKT, mpunguze makasiriko kushindwa kuwa Bakabaka, FFU, USALAMA, au Askari polisi ni Hali ya kawaida tu katika Maisha , Tuishi.tu
Kusuka hata mimi nashangaa kwakweli maana ndio utamaduni wetu watanzania na waafrika kwamba mwanamke anasuka lakini habari ya suruali nakushangaa wewe unaouliza kwanini wanawake wazuiwe kuvaa
Hizi makitu zimeanza lini,mbona in 2001 hakukuwaga na kuonyesha ID ni geti ilikuwa moja tu ile ya kubwa ya bada ya kanisani,na hostel zilikuwa mbili tu new hostel na old hostel,na lami ilikuwa inaishia pale relini(general tyre),kumbe nimekuwa mhenga soon ntazuru hapo nione hizo makitu ya kuonyesha IDsB
Bro wewe ndo upo vizuri kwenye kureason sasa mimi nimemaliza hapo IAA 2021, Nipo hapo tangu 2016 na hao suma jkt wameletwa hapo chuo kuanzia 2019 navyokumbuka na hakuna tukio lolote limewahi kutokea na wanafunzi wanafuata sheria zote kama code za mavazi kama vile wasichana hawaruhusiwi kuvaa suruali za kubana sana na kuingia getini ni mpaka uonyeshe ID mageti yote kubwa na dogo sema uyo dogo atakuwa kuna maneno kamtupia mlinzi sio mazuri ndo maana kakandwa japo harusiwi kumkanda mtu, mbona watu kibao uwa wanapita hapo getini na sometimes wanakuwa wamesahau ID sema wakifika wanajishusha kwa mlinzi na kwa polite language wanabonga naye wanapita , uyo demu sio student wa kwanza kusahau ID tangu chuo kianzishe huo utaratibu , iweje yeye ndo apokee kipigo, reasoning capacity ya wabongo ndogo sana uwa tunapokea vitu kwa mihemko bila kutuliza akili na kuprove/ judge both side,
Hizi makitu zimeanza lini,mbona in 2001 hakukuwaga na kuonyesha ID ni geti ilikuwa moja tu ile ya kubwa ya bada ya kanisani,na hostel zilikuwa mbili tu new hostel na old hostel,na lami ilikuwa inaishia pale relini(general tyre),kumbe nimekuwa mhenga soon ntazuru hapo nione hizo makitu ya kuonyesha IDs
Kwa sababuKwa nini wazuiliwe
Kwa sababu
1. Zinawachora maumbo na kuwaumiza (kwa kutamanisha) wengine
2. Zinasababisha watu wapate taabu kuwatofautisha (kugundua wanawake ni wapi na wanaume ni wapi?)
3. SIYO UTAMADUNI WETU WAAFRIKA HUSUSANI WATANZANIA
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hawana poshoHivi wana lipwa mshahara kiasi gani kwa mwezi hawa Suma Jkt
Pili, wana lipwa mshahara au posho
Je wanapata stahiki zao vizuri