Bachelor OG JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 878 Reaction score 1,195 Nov 26, 2022 #81 becknature said: Hao unaowaona suma jkt sio wale wanaotoka kwenye kambi za jkt, ni raia tu wa kawaida wanachukuliwa kwenda mafunzo kidogo na kuanza kupangiwa lindo. Click to expand... Suma jkt lzm awe na mafunzo either Jkt au mgambo
becknature said: Hao unaowaona suma jkt sio wale wanaotoka kwenye kambi za jkt, ni raia tu wa kawaida wanachukuliwa kwenda mafunzo kidogo na kuanza kupangiwa lindo. Click to expand... Suma jkt lzm awe na mafunzo either Jkt au mgambo
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Nov 28, 2022 #82 KikulachoChako said: Nidhamu inatakiwa kwa pande zote.....raia wanatakiwa wawaheshimu askari na askari wawaheshimu raia........ upande mmoja unaposhindwa kuchunga nidhamu Kwa mwenzie ndio majanga yanaanza....... uvumilivu una ukomo wake..... Click to expand... Mwenye sare, ndio haijalishi mazingira gani, anatakiwa aoneshe upevu, nidhamu na taaluma yake!
KikulachoChako said: Nidhamu inatakiwa kwa pande zote.....raia wanatakiwa wawaheshimu askari na askari wawaheshimu raia........ upande mmoja unaposhindwa kuchunga nidhamu Kwa mwenzie ndio majanga yanaanza....... uvumilivu una ukomo wake..... Click to expand... Mwenye sare, ndio haijalishi mazingira gani, anatakiwa aoneshe upevu, nidhamu na taaluma yake!
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Dec 27, 2022 #83 HIMARS said: Mi naona wanafunzi ndo wazembe, mnakubalije mwenzenu anapigwa mnakodoa macho? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... Ulitaka wafanyeje labda? Nawe ungekuwa eneo hilo ungefanyaje tofauti na walichokifanya waliokuwepo eneo la tukio? Usiwe na ujasiri wa Mange Kimambi kuhamasisha maandanano kwa "on line" wakati yeye akiwa kaficha kichwa chake Marekani. Pia uelewe vurugu haisuluhishwi kwa vurugu, bali husuluhishwa kwa busara.
HIMARS said: Mi naona wanafunzi ndo wazembe, mnakubalije mwenzenu anapigwa mnakodoa macho? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... Ulitaka wafanyeje labda? Nawe ungekuwa eneo hilo ungefanyaje tofauti na walichokifanya waliokuwepo eneo la tukio? Usiwe na ujasiri wa Mange Kimambi kuhamasisha maandanano kwa "on line" wakati yeye akiwa kaficha kichwa chake Marekani. Pia uelewe vurugu haisuluhishwi kwa vurugu, bali husuluhishwa kwa busara.