Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Sijui mm sijawahi hata kwenda kusalimia mfungwa so hayo maeneo huwa nayaona kama mochwari tu sipendi hata kupita karibu nayo. Wasubiri nikiwa mharifu ndo wanipeleke kama mochwari wasubiri nikifa wanipeleke. Ila jela ina jinsia 2 ke na me we kama bwabwa unapelekwa kwa me usiku jamaa watabadilishana kama kujifunza baiskeli vile mtu anaendesha paka paleee na kurudi mmejipanga mstari akitoka huyu anaingia mwingine. Mpaka miaka 30 atakuwa na ngozi lain kama wa mwanamke maana zile vitu huwa zinalainisha ngoziJaman na ww una maneno[emoji2297]
Kuna mdau alisema hapa jf kwamba huwa wana gereza lao na huwa wanachungwa sana
UwiiiiSijui mm sijawahi hata kwenda kusalimia mfungwa so hayo maeneo huwa nayaona kama mochwari tu sipendi hata kupita karibu nayo. Wasubiri nikiwa mharifu ndo wanipeleke kama mochwari wasubiri nikifa wanipeleke. Ila jela ina jinsia 2 ke na me we kama bwabwa unapelekwa kwa me usiku jamaa watabadilishana kama kujifunza baiskeli vile mtu anaendesha paka paleee na kurudi mmejipanga mstari akitoka huyu anaingia mwingine. Mpaka miaka 30 atakuwa na ngozi lain kama wa mwanamke maana zile vitu huwa zinalainisha ngozi
1. Jamaa hatari kwa Jamii huyo. Mwenzie yupo wapi?
2. Kiringo mbona hakamatwi?
Aibu kubwa sana hiiAfande mchele
Saaizi yenyewe anawashwawashwa kijambio, Kwa wiki hizi chache bila mkuyenge kumpekenyua kwake ni sawa na mwaka,Inasikitisha sana! kwaile video Keshakuwa addicted yule !!
1. Jamaa hatari kwa Jamii huyo. Mwenzie yupo wapi?
2. Kiringo mbona hakamatwi?
C anapenda mwenyewe, we hukuona alivyokua anagugumiaUwiiii
Mhurumie mwanaume mwenzio jaman
Mhurumie tu hujui alianzajeC anapenda mwenyewe, we hukuona alivyokua anagugumia
Woooi kabisa anasema sio yeye. Wampeleke wa docta akapime linda, then wapime dna kunako kiwandaEti amekana
Hii nchi ina maajabu hii
Hapo itabidi akapimwe...sjiui atapikwa kwa kipimo cha aina gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aibu kubwa sana kawapaUzuri wanawake wa kiislam wana adabu sana walishukuru mungu tu wala hawakumtolea maneno machafu mume wao
Dah aibu na hatari juu
Hivi yeye haifurahii K jaman hadi na yeye atumie mlango wa nyuma?
Apate stahili yake kama yule wa mtwara
Hyo kaz ya kupima yenyewe mtihanWoooi kabisa anasema sio yeye. Wampeleke wa docta akapime linda, then wapime dna kunako kiwanda
Ndio naulizaDah wewe jaman et K mhhh