Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

Askari anayetuhumiwa kuingiliwa asomewa mashtaka, akana sio yeye kwenye video

Dah aibu na hatari juu
Hivi yeye haifurahii K jaman hadi na yeye atumie mlango wa nyuma?
Apate stahili yake kama yule wa mtwara
Yule wa mtwara alikosa wakili pia hakujua kujitetea.
Case ya ushoga ikikutana na mtuhumiwa mwenye akili na anayejua sheria hafungwiiii kamweee.

Wawaokote hawa hawa wasio jitambuaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbna mabasha hawakamatwi? Sasa case itaendeshwa vipi hapo? Lol
 
Wenzie wataenda mdaka juu juu atakua mboga yao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Case ya ushoga, mtuhumiwa huwa hafungwiii, hata wa mtwara atatoka nje soon, wanapotezwa maboya wananchi ili wasihamaki.
 
Hiví Kama alileweshwa na raia wabaya Kisha kurikodi Lile tukio na kulosambaza mitandaoni Nani atafuatilia Haki yake?

Huyo Basha alikua anamwingilia Nyuma yeye yupo Wapi?

Kwani Sheria inaruhusu MTU kufira lakini inakataza kufirwa .?
Ukijibiwa nitag.
Sheria inapindishwaa tyuuh, kwani wana walaghai wananchi, hata mtwara ile ni danganya toto atatolewa nje soon.
 
Hatari na nusu, duh, huko lupango sijui itakuwaje, si atakuwa anapweka kama bata, maana watampiga kisawa sawa, hatari sana wamfunge kizimba cha peke yake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afande hafungwi, kwanza nataka nwakani niingie class kupiga Degree ya Sheria, kuna kundi linaonewa hapaaa.

Nataka kuwa wakili upande wa Afandee. Yaan nataman mnoo niwaoneshe mahakama namna case ya ushoga inaendeshwa.

Dadekiiiiii
 
Gerezani mashoga huwa hawachangamani na wafungwa wengine. Huwekwa selo ya peke yao.
Ila mapong'oo wakihitaji lao ataundiwa tume watakula mzigo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaa kumbeeee???
 
Saaizi yenyewe anawashwawashwa kijambio, Kwa wiki hizi chache bila mkuyenge kumpekenyua kwake ni sawa na mwaka,

Ngoja aingie gerezani, Kwa huo muwasho lazma atawaomba wamkune.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah ila watuuu.
 
Back
Top Bottom