Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Lakini hakuwa na sio MtutsiKuishi vema na mjirani ndiyo suluhisho bora kwa migogoro
Sisa za visasi ni hatari siku zote. Nazo ni za Kikwete na ccm
Mnashangaa ya mwanajeshi, mbona katibu mkuu ccm ni:-
-Msomali
-fisadi mkuu wa maliasili zetu hususan tembo
Simwingine ni KINANA
Kuna makbila mengine hata ufanyeje ni lazima atakusaliti au kurudi kwao,
Tunachozungumzia ni Uzalendo? Obama ni Mjaluo na Wamarekani wote wamemuamini
Kinana ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali lakini tunamuamini, hawezi uza Nchi ndio maana akaenda jeshini.
Lakini Makabila yanayotaka madaraka na kutawala ni kutoka katika asili (Damu) yao Mtikila alisema. Utawaona tu humu karibi watakuja kukusaport maana tumeshawamulika wote, sijui kwa nini mmebaki MUONDOKEEEE