Ukwaju jaribu mbinu nyingine hii umeumbuka gamba.
Du kukuelewa mkuu ni kazi sana
-Huwezi kunielewa kwasababu kichwani ww ni boga, ungekuwa makini na unaufahamu ungenielewa na kibaya zaid huwezi nishinda ujanja!!
Kwanini unachanganya post zangu mbili ambazo nimechangia kwenye mada tofauti?
1. posti ya kwanza ni kwenye thread yenye title [h=2]Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini![/h]
2. Post ya pili umechukuwa kwenye mada
[h=2]Mbowe, Lissu, Mnyika na Marando ndani ya Kasulu leo[/h]
kweli wewe ni limbukeni, soma maelezo yangu hapa chini uone ulivyochizi
Pitia maswali yangu kwenyeblue ndani ya bandiko lako, utakuwa timamu kama utayajibu kwa usahihi.
By
Ukwaju
Lakini hakuwa na
sio Mtutsi Kama tatizo ni utusi wa mtu kwanini huyu katoroka wasiwai wake ni na kwanini atoroke?
Kuna makbila mengine hata ufanyeje ni lazima atakusaliti au kurudi kwao,
Tunachozungumzia ni Uzalendo- Nikipimogani cha uzalendo ambacho kiliwashinda kumbaini huyu alieamua kutoroka ambacho kitafanya kazi kwa ufanisi kuwabaini wengine usiowafahamu? Obama ni Mjaluo na Wamarekani wote wamemuamini
Kinana ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali lakini tunamuamini, hawezi uza Nchi
ndio maana akaenda jeshini-
1. Huyu alietoroka hakuwa jeshini? 2. Aliingiaje huko jeshini? na 3.
wapo wangapi ambao huwafahamu?
Lakini Makabila yanayotaka madaraka na kutawala ni kutoka katika asili (Damu) yao Mtikila alisema
Utawaona tu humu karibi watakuja kukusaport maana tumeshawamulika wote, sijui kwa nini mmebaki MUONDOKEEEE
Hapa chini
ukwaju ni swali ambalo nilikuuliza kutokana na maelezo ya bandiko lako hapo juu, ukashindwa kujibu kabisaa hatima yake ukazuka na uzushi!!!!
By
adolay
Kama unauwezo huo, huyu alipenya vipi mpaka kupewa kitengo nyeti namna hiyo?
Unakifaham vema unachokijadili mkuu?
Kuhusu bandiko la hapo chini swala hilo nilijadili kwa kumquote
Ntakandi
-Title ya thread nitofauti na hii, upumbavu wako umechukuwa quote yangu kutoka posti tofauti na kwa swali tofauti maana hukuulizwa wewe ukaileta na kuichanganya huku, nadhani hunaakili timamu, na Ukwaju huwezi nizidi ujaja wewe ni ----- tu.
a) tittle yake ni
[h=2]Mbowe, Lissu, Mnyika na Marando ndani ya Kasulu leo[/h]
b) post number 14 nikimjibu Ntakandi, aliyetowa maelezo haya hapa chini na maelezo yangu kwake yanafuatia chini yake.
By
Ntakandi
uwezo wa mwigulu ktk siasa za tz ni mkubwa sana huwezi ukamlinganisha na dj mbowe au padri slaa labda kidogo zito. Ndo maana cdm hawalali sababu ya mwigulu sasa jeshi zima la ccm likiongozwa na amri jeshi mkuu dr kikwete sijui kama cdm itasalimika
By
adolay
Kati ya mwigulu na mahakama nani anastahili kikatiba kutoa malelezo na maamuzi ya haki?
-cd ya uwongo ya Lwakatale -Mwigulu
-ugaid wa kupika kwa Kilewo - Mwigulu
-kusema uwongo na ovyoovyo - Mwigulu
Kama kunawatanzania wanaomwamwini Mwigulu mpaka sasa lazima wanatatizo
kwautaratibu huu nakuonea huma sana...........................................................
kwani wenzako wote wamenielewa ila wewe upo Kichukichuki
a) Wenzangu waliokuelewa wewe ni akina nani? kwa huu upotoshaji wakipumbavu
b) kati yangu mimi nawewe nani anachuki na kilaza?Umechukuwa quote kutoka mada tofauti tena nikimjibu mtu tofauti kwa swali tofauti ukaleta kwenye thread tofauti
si ushamba na upumbavu!!!! eti sieleweki utaelewaje unachanganya michango ya mada tofauti uonekane unazo,
akili za kimwigulu chemba hizi
hata michango yako inabidi tu tupite maana una ndoto za mchana za kuingia 2015
Tatizo lenu washabiki wa ccm, nikuishi kwa uwongo kama ulivyodanganya hapo juu, kuchanganya thread mbili tofauti wewe ni ----- hakuna mfano
kama alivyo mwigulu na matatizo ya akili nadhani unasifa zote za kimwigulu
Kwa Lugha yako sasa nimekuelewa unapepea kuelekea wapi hujali jukwaa wala Thread mradi ujumbe umeufikisha
unadhani mi ----- kama wewe unaeishi kwa uwongo, propaganda na unafiki! nimekushushua jaribu mbinu nyingine
Mimi Mwigulu na Kinana nawaamini na Watanzania wenzangu kama wewe ila nachambua Magaidi mnajulikana
-Sioni ajabu kuwaamini kwanza sioni tofauti kati yako na mwigulu na huyo kinana
kama unaweza kuchanganya michango ya mada mbili tofauti uonekane unaweza kuchambua mada, unatofauti gani na:-
1. Mwigulu anayehubili chuki anayezushia wengine ugaidi kwa ushamba na ulimbukeni kuchonga hadi cd, na wewe kunizushia uwongo hapa jukwaani
2. Kinana anayekubali kwamba meli yake inatumika kusafirisha nyara za serikali, na akiwa kiongozi wa juu kabisa katika ccm maiti bila aibu wala woga.
Kwa uwiano wa upumbavu na ujinga ni sahihi kwako kuwaaamini
maana hata wachawi huaminiana wao kwa wao.