Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Status
Not open for further replies.
Kuishi vema na mjirani ndiyo suluhisho bora kwa migogoro
Sisa za visasi ni hatari siku zote. Nazo ni za Kikwete na ccm
Mnashangaa ya mwanajeshi, mbona katibu mkuu ccm ni:-
-Msomali
-fisadi mkuu wa maliasili zetu hususan tembo
Simwingine ni KINANA
Lakini hakuwa na sio Mtutsi
Kuna makbila mengine hata ufanyeje ni lazima atakusaliti au kurudi kwao,
Tunachozungumzia ni Uzalendo? Obama ni Mjaluo na Wamarekani wote wamemuamini
Kinana ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali lakini tunamuamini, hawezi uza Nchi ndio maana akaenda jeshini.

Lakini Makabila yanayotaka madaraka na kutawala ni kutoka katika asili (Damu) yao Mtikila alisema. Utawaona tu humu karibi watakuja kukusaport maana tumeshawamulika wote, sijui kwa nini mmebaki MUONDOKEEEE
 
Kazi ndogo hiyo, sanasana anajisumbua tutamkamata popote alipo labda asiende chooni.
 
Mambo ya Intelligensia yana siri kubwa ambazo wakati mwingine hatuwezi kuzielewa kirahisi.Tunaweza kuwa na wanyarwanda ndani ya Jeshi na bado tukawatumia haohao kusecure information kutoka kwao. Kumbuka NSA leaker Edward Snowden wa marekani ambaye ameomba asylum nchini Russia. Watu wanaojua Intelligensia vizuri wanajua kinachoendela na usidhani Marekani ni wajinga kiasi hicho, pale ni kwamba mtu kuna task amepewa. Hivyo hata ikitokea hapa kwetu, tunakimbilia kuilaumu Intelligensia yetu bila kujua kinachoendelea. How sure ni Intelligency personnel wangapi wa Tanzania wapo katika nchi mbalimbali Duniani? achilia mbali hiyo Rwanda? sometimes tusipende kubeza vyombo vyetu vya usalama maana wanajua wanachokifanya.Kwani Mtikila ni mtu wa usalama wa Taifa? jiulize hizo habari anazipata wapi? kama Mtikila anafahamu, anapata habari kwa watu wa ndani wanaojua kinachoendelea na pengine hawampatii habari yakinifu kwa kuwa siyo kila mwana-usalama anaelewe kila kinachoendelea unless awe ngazi ya juu. Na wewe katika maisha yako ya kila siku lazima ujiwekee self-intelligency na hasa pale unapokuwa na madaraka kazini, kiongozi wa siasa au kuwa na mali nyingi, utundu wa kudodosa mazingira yanayokuzunguka ni jambo muhimu. Hivyo ondoeni hofu isiyokuwa ya lazima katika hili.

Nchi hii jamani !!!. Tukileta porojo, maneno mengi na kutiana moyo katika mambo ya Usalama, TUTAKUJA KUWA WATUMWA na Amri zote zitatoka, ama Kigali ama Kenya au penginepo.
Sio lazima haya tujekuyashuhudia sisi LAKINI tuwe na huruma kwa vizazi vyetu vijavyo. TUACHE UBINAFSI.
 
Licha ya Kuwa Katibu wa CCM, Huyo alishakuwa Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa tu Jeshini

Hii ndiyo alipaswa kuiona kikwete, kakurupuka na visa akiwaacha akina Aden Rage na wahindi wakutosha wanapeta ccm.

Uwepo wa wasomali kama kinana,Rage na wahindi wengi serikalin na hasa ndan ya ccm niviashiria kwamba tumeingiliwa kila idara, hivyo yatupasa kuishi vema na kwa wema na majirani zetu sio visasi.

Kwanza nikimwangalia kagasheki nikama vile mtoto wa kigali, mtazame vema pua yake kama ya kitusi.....
 
Lakini hakuwa na sio Mtutsi
Kuna makbila mengine hata ufanyeje ni lazima atakusaliti au kurudi kwao,
Tunachozungumzia ni Uzalendo? Obama ni Mjaluo na Wamarekani wote wamemuamini
Kinana ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali lakini tunamuamini, hawezi uza Nchi ndio maana akaenda jeshini
Lakini Makabila yanayotaka madaraka na kutawala ni kutoka katika asili (Damu) yao Mtikila alisema
Utawaona tu humu karibi watakuja kukusaport maana tumeshawamulika wote, sijui kwa nini mmebaki MUONDOKEEEE

Kama unauwezo huo, huyu alipenya vipi mpaka kupewa kitengo nyeti namna hiyo?

Unakifaham vema unachokijadili mkuu?
 
Hii ndiyo alipaswa kuiona kikwete, kakurupuka na visa akiwaacha akina Aden Rage na wahindi wakutosha wanapeta ccm.

Uwepo wa wasomali kama kinana,Rage na wahindi wengi serikalin na hasa ndan ya ccm niviashiria kwamba tumeingiliwa kila idara, hivyo yatupasa kuishi vema na kwa wema na majirani zetu sio visasi.

Kwanza nikimwangalia kagasheki nikama vile mtoto wa kigali, mtazame vema pua yake kama ya kitusi.....

Mkuu kuna dhana ya kuwa usalama wa taifa ni kumlinda Raisi na kulinda mipaka ya nchi, lakini dhana ya usalama wa Taifa ni kubwa sana,

Wanyarwanda ama Wapinzani wa serikali ya Tanzania wanaweza kutudhoofisha kwa njia moja wala nyingine na sisi tunakazana kusema nchi na jeshi lipo imara

serikali inatambua kwamba
1) Ufisadi ni hatari kwa usalama wa Taifa, ni kitendo kinachodhihirisha kabisa kukosa uzalendo kwa baadhi ya Mafisadi na wako Tayari kuuza nchi kwa maslahi Bibafsi
2) Issue ya Madawa ya kulevya inachukuliwa kimchezomchezo lakini ni hatari sana kwa usalama na ustawi wa Taifa
3) issue ya Ujambazi nayo ni sensitive, Wakati serikali ikitamba Jeshi lake liko imara kumpiga Kagame na Joyce Banda, hawana Habari kuwa Kagame keshaanza vita na Tanzania kwa kusambaza silaha nchi nzima, sisi tuko bize na magobole mpakani
4) issue ya udini na ukabila, ni Tishio kwa usalama wa Taifa, wakati sisi tunatafuta kuwachunguza Rwanda na Malawi, kuna watu wako bize kumwagilia maji mbegu ya udini na ukabila

USALAMA WA TAIFA NI KITU SYSTEM KUBWA LAKINI SISI NADHANI TUKO BIZE KUWACHUNGUZA MAJIRANI NA KUACHA VITU VINGINE VIKIARIKA NA AMBAVYO NDIO HASA HATARI KWA USALAMA WA TAIFA
 
Mimi nilisema siku nyingi kwamba kiburi cha Kagame si bure. Ana watu wa kutosha sana ndani ya jeshi letu la wananchi ndiyo maana anapata kiburi kiasi hicho. Na hii itatugharimu sana katika mahusiano yetu na hawa majirani. Na ile kauli ya kwamba atatafuta angle nzuri ampige Kikwete, ninapata hofu kwamba isijekuwa ni style kama ile aliyomuulia Laurent Kabila. Maana Kagame hana dogo. Na akiua kwa style ile ya Kabila sijui hata tutapata wapi vielelezo vya kumshitaki au kumshambulia Kagame. Stay tuned guys, tusishangae kwamba hata walinzi wa Kikwete ni Wanyarwanda.

Mmmh, mkuu kwenye nyekundu hapo imenishtua sana! Kama ni kweli aliyasema hayo maneno, basi ni hatari na nchi inahitaji kulichukulia hilo kwa UZITO MKUBWA. Yule jamaa ana kiu ya damu za watu, hajashiba tu ya mwaka 1994, si unamuona alivyomwembamba! ana njaa yule. Tumlinde sana Rais wetu na mamluki tuwe makini nao sana
 
Kwa mtu ambaye yuko jirani na mseveni na kagame hawa ni watu hatari sana, nashangaa kuona wanachukulia kimzaha. sanasana kagame ni mtu hatari sana. subirini mtaona alivyo mbaya zaidi.
 
Kuwa mwanajeshi hakumaanishi kujua siri za nchi Hata usalama wa taifa sio wote wanafahamu siri za nchi. Wanafahamu siri za kazi zao sio siri za nchi.

upo sawa mkuu, si kila aliyepo huko anayajua yote..
 
ha ha ha!!!Mr Snowden wa kitutsi.....ila jinga kwl limekimbia kabla ya mziki kuanza!
 
Mkuu kuna dhana ya kuwa usalama wa taifa ni kumlinda Raisi na kulinda mipaka ya nchi, lakini dhana ya usalama wa Taifa ni kubwa sana,

Wanyarwanda ama Wapinzani wa serikali ya Tanzania wanaweza kutudhoofisha kwa njia moja wala nyingine na sisi tunakazana kusema nchi na jeshi lipo imara

serikali inatambua kwamba
1) Ufisadi ni hatari kwa usalama wa Taifa, ni kitendo kinachodhihirisha kabisa kukosa uzalendo kwa baadhi ya Mafisadi na wako Tayari kuuza nchi kwa maslahi Bibafsi
2) Issue ya Madawa ya kulevya inachukuliwa kimchezomchezo lakini ni hatari sana kwa usalama na ustawi wa Taifa
3) issue ya Ujambazi nayo ni sensitive, Wakati serikali ikitamba Jeshi lake liko imara kumpiga Kagame na Joyce Banda, hawana Habari kuwa Kagame keshaanza vita na Tanzania kwa kusambaza silaha nchi nzima, sisi tuko bize na magobole mpakani
4) issue ya udini na ukabila, ni Tishio kwa usalama wa Taifa, wakati sisi tunatafuta kuwachunguza Rwanda na Malawi, kuna watu wako bize kumwagilia maji mbegu ya udini na ukabila

USALAMA WA TAIFA NI KITU SYSTEM KUBWA LAKINI SISI NADHANI TUKO BIZE KUWACHUNGUZA MAJIRANI NA KUACHA VITU VINGINE VIKIARIKA NA AMBAVYO NDIO HASA HATARI KWA USALAMA WA TAIFA

Serikali makini ilipaswa kuzingatia yote haya uliyoyaorodhesha kwa maslahi ya sasa kwa taifa na vizazi vijavyo

Kinyume na matarajio wanaishi na kutuongoza kwa propaganda, uchochezi na ulaghai

Yetu macho maana ccm wanadhani kila kitu nipropaganda
 
Si kila askari wa Jw anajua kila kitu kuhusu siri za jeshi. Hata usaalama wa Taifa si kila afisa anajua kila kitu. Utajua tu yale yaliyopo kwenye idara au kikosi chako. Hata kama alikuwa IT kuna kitu kinaitwa clearance levels ambazo ni levels za ku access data. Unaweza ukawepo hapo IT lakini usiweze kuona baadhi ya data.

Na kwa taarifa tu kuna watu wa usalama wa Taifa kwenye kila kambi za majeshi yetu. Huyo askari kajisumbua tu kukimbia!
 
Si kila askari wa Jw anajua kila kitu kuhusu siri za jeshi. Hata usaalama wa Taifa si kila afisa anajua kila kitu. Utajua tu yale yaliyopo kwenye idara au kikosi chako. Hata kama alikuwa IT kuna kitu kinaitwa clearance levels ambazo ni levels za ku access data.Unaweza ukawepo hapo IT lakini usiweze kuona baadhi ya data. Na kwa taarifa tu kuna watu wa usalama wa Taifa kwenye kila kambi za majeshi yetu. Huyo askari kajisumbua tu kukimbia! umeongea 'facts' Swat, ok! ngoja mimi nisubiri nione wenyemamlaka watasema nini.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom