Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Status
Not open for further replies.
Kuishi vema na mjirani ndiyo suluhisho bora kwa migogoro
Sisa za visasi ni hatari siku zote. Nazo ni za Kikwete na ccm
Mnashangaa ya mwanajeshi, mbona katibu mkuu ccm ni:-
-Msomali
-fisadi mkuu wa maliasili zetu hususan tembo
Simwingine ni KINANA
Lakini hakuwa na sio Mtutsi
Kuna makbila mengine hata ufanyeje ni lazima atakusaliti au kurudi kwao,
Tunachozungumzia ni Uzalendo? Obama ni Mjaluo na Wamarekani wote wamemuamini
Kinana ni Mtanzania mwenye asili ya kisomali lakini tunamuamini, hawezi uza Nchi ndio maana akaenda jeshini.

Lakini Makabila yanayotaka madaraka na kutawala ni kutoka katika asili (Damu) yao Mtikila alisema. Utawaona tu humu karibi watakuja kukusaport maana tumeshawamulika wote, sijui kwa nini mmebaki MUONDOKEEEE
 
Kazi ndogo hiyo, sanasana anajisumbua tutamkamata popote alipo labda asiende chooni.
 

Nchi hii jamani !!!. Tukileta porojo, maneno mengi na kutiana moyo katika mambo ya Usalama, TUTAKUJA KUWA WATUMWA na Amri zote zitatoka, ama Kigali ama Kenya au penginepo.
Sio lazima haya tujekuyashuhudia sisi LAKINI tuwe na huruma kwa vizazi vyetu vijavyo. TUACHE UBINAFSI.
 
Licha ya Kuwa Katibu wa CCM, Huyo alishakuwa Mwanajeshi mwenye cheo kikubwa tu Jeshini

Hii ndiyo alipaswa kuiona kikwete, kakurupuka na visa akiwaacha akina Aden Rage na wahindi wakutosha wanapeta ccm.

Uwepo wa wasomali kama kinana,Rage na wahindi wengi serikalin na hasa ndan ya ccm niviashiria kwamba tumeingiliwa kila idara, hivyo yatupasa kuishi vema na kwa wema na majirani zetu sio visasi.

Kwanza nikimwangalia kagasheki nikama vile mtoto wa kigali, mtazame vema pua yake kama ya kitusi.....
 

Kama unauwezo huo, huyu alipenya vipi mpaka kupewa kitengo nyeti namna hiyo?

Unakifaham vema unachokijadili mkuu?
 

Mkuu kuna dhana ya kuwa usalama wa taifa ni kumlinda Raisi na kulinda mipaka ya nchi, lakini dhana ya usalama wa Taifa ni kubwa sana,

Wanyarwanda ama Wapinzani wa serikali ya Tanzania wanaweza kutudhoofisha kwa njia moja wala nyingine na sisi tunakazana kusema nchi na jeshi lipo imara

serikali inatambua kwamba
1) Ufisadi ni hatari kwa usalama wa Taifa, ni kitendo kinachodhihirisha kabisa kukosa uzalendo kwa baadhi ya Mafisadi na wako Tayari kuuza nchi kwa maslahi Bibafsi
2) Issue ya Madawa ya kulevya inachukuliwa kimchezomchezo lakini ni hatari sana kwa usalama na ustawi wa Taifa
3) issue ya Ujambazi nayo ni sensitive, Wakati serikali ikitamba Jeshi lake liko imara kumpiga Kagame na Joyce Banda, hawana Habari kuwa Kagame keshaanza vita na Tanzania kwa kusambaza silaha nchi nzima, sisi tuko bize na magobole mpakani
4) issue ya udini na ukabila, ni Tishio kwa usalama wa Taifa, wakati sisi tunatafuta kuwachunguza Rwanda na Malawi, kuna watu wako bize kumwagilia maji mbegu ya udini na ukabila

USALAMA WA TAIFA NI KITU SYSTEM KUBWA LAKINI SISI NADHANI TUKO BIZE KUWACHUNGUZA MAJIRANI NA KUACHA VITU VINGINE VIKIARIKA NA AMBAVYO NDIO HASA HATARI KWA USALAMA WA TAIFA
 

Mmmh, mkuu kwenye nyekundu hapo imenishtua sana! Kama ni kweli aliyasema hayo maneno, basi ni hatari na nchi inahitaji kulichukulia hilo kwa UZITO MKUBWA. Yule jamaa ana kiu ya damu za watu, hajashiba tu ya mwaka 1994, si unamuona alivyomwembamba! ana njaa yule. Tumlinde sana Rais wetu na mamluki tuwe makini nao sana
 
Kwa mtu ambaye yuko jirani na mseveni na kagame hawa ni watu hatari sana, nashangaa kuona wanachukulia kimzaha. sanasana kagame ni mtu hatari sana. subirini mtaona alivyo mbaya zaidi.
 
Kuwa mwanajeshi hakumaanishi kujua siri za nchi Hata usalama wa taifa sio wote wanafahamu siri za nchi. Wanafahamu siri za kazi zao sio siri za nchi.

upo sawa mkuu, si kila aliyepo huko anayajua yote..
 
ha ha ha!!!Mr Snowden wa kitutsi.....ila jinga kwl limekimbia kabla ya mziki kuanza!
 



Serikali makini ilipaswa kuzingatia yote haya uliyoyaorodhesha kwa maslahi ya sasa kwa taifa na vizazi vijavyo

Kinyume na matarajio wanaishi na kutuongoza kwa propaganda, uchochezi na ulaghai

Yetu macho maana ccm wanadhani kila kitu nipropaganda
 
Si kila askari wa Jw anajua kila kitu kuhusu siri za jeshi. Hata usaalama wa Taifa si kila afisa anajua kila kitu. Utajua tu yale yaliyopo kwenye idara au kikosi chako. Hata kama alikuwa IT kuna kitu kinaitwa clearance levels ambazo ni levels za ku access data. Unaweza ukawepo hapo IT lakini usiweze kuona baadhi ya data.

Na kwa taarifa tu kuna watu wa usalama wa Taifa kwenye kila kambi za majeshi yetu. Huyo askari kajisumbua tu kukimbia!
 
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…