Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Status
Not open for further replies.

Mkuu tafuta daktari wa mambo ya AKILI, unaumwa.... unachanganya sana mada, hiyo si hali ya kawaida... UNAUMWA NA TUNAOKUPENDA TUNAKUSHAURI NENDA KWA DAKTARI WA MATATIZO YA AKILI
 
Paul Kagame was Head of Intelligence kwenye idara ya usalama ya uganda..yet ameenda kuwa amiri jeshi mkuu wa Rwanda...so u can imagine what kind of information alikuwa nayo dhidi ya uganda, yet he didi what?? or shud uganda be scared of Rwanda jus coz anawajua in and out?

I hate the system of Tanzania, and how it recruits watu muhimu kama wa vyombo vya ulinzi na usalama, seriously, hakuna weredi kabisa, kujuana ni kwingi. BUT, still, tusiwe na hofu juu ya huyo mwanajeshi wala wengine ambao bado wamo JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi, and Tanzania na Rwanda hawatopigana kamwe...ther z just misunderstanding of few concepts......my dears, WAR GOES BEYOND POLITICAL CONFLICT especially a conflict started by few sentenses.....stay blessed....
 
Kama alikuwa private hawezi kuwa na Siri zozote za maana, unless Kama alikuwa na cheo cha juu!
NI LUTENI KANALI kitengo cha teknolojia ya mawasiliano ya kijeshi (IT).
 
sizani kama ametoroka,pengine maisha ya jeshi yamemshinda kaenda kutafuta maisha sehemu nyingine acheni ofu na kumuusisha Kagame kwa ili
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha,
 
Mkuu tafuta daktari wa mambo ya AKILI, unaumwa.... unachanganya sana mada, hiyo si hali ya kawaida... UNAUMWA NA TUNAOKUPENDA TUNAKUSHAURI NENDA KWA DAKTARI WA MATATIZO YA AKILI


Tatizo lenu ni ujinga wa kuchambuwa na kuchanganua mambo.

Daima ukweli unauma na hampendi kuambiwa ukweli.

Kama jeshi limeweza kumpa kitengo nyeti mnyarwanda, nini kinakuzuia kuhisi kwamba uwezekano wa maadui

kuwepo Ikulu ni mkubwa nakwamba tahadhari ya ziada inahitajika sio kukurupuka tu na maamuzi ya visasi?

Mtaendelea kuwa wapumbavu kwasababu ya upenzi wa kisiasa huku mkiukana ukweli kwa unafiki na ujuha.
 
Amani haipatikani kwa visasi hata siku moja, kufanya viasi nikupa laana.

haya, mwanaume vitendo! acheni visasi waalikeni FLDR katika siasa za rwanda, ondoeni magenge yenu ya mauaji DRC, NA WAITENI NYUMBANI MAPANDIKIZI YENU HUKU NCHINI, NA MWAMBIENI KAGAME AMWOMBE RAISI KIKWETE NA WATANZANIA MSAMAHA KWA KUWATUSI . BAADA YA HAPO UTAKUWA NA HAKI YA KUANDIKA
 



Tatizo lenu ni ujinga wa kuchambuwa na kuchanganua mambo.


Daima ukweli unauma na hampendi kuambiwa ukweli.

Kama jeshi limeweza kumpa kitengo nyeti mnyarwanda, nini kinakuzuia kuhisi kwamba uwezekano wa maadui

kuwepo Ikulu ni mkubwa nakwamba tahadhari ya ziada inahitajika sio kukurupuka tu na maamuzi ya visasi?

Mtaendelea kuwa wapumbavu kwasababu ya upenzi wa kisiasa huku mkiukana ukweli kwa unafiki na ujuha.
 

wewe ndiye juha zaidi na haujitambui, huyo askari kwa taarifa yako hata rwanda akija leo hana pa kufikia na ni mzaliwa wa tanzania wazazi toka rwanda waliingia nchini miaka ya 50 kabla hata hamjapata uhuru! Ila tahadhari ilichukuliwa kwa watu wasiyo na asili ya tanzania, na haujui alipo mpaka sasa, mbona hujiulizi ni watanzania wangapi wako katika taasisi nyeti za rwanda kwa kudhamiria na hawajulikani?
 
mkuu tafuta daktari wa mambo ya akili, unaumwa.... Unachanganya sana mada, hiyo si hali ya kawaida... Unaumwa na tunaokupenda tunakushauri nenda kwa daktari wa matatizo ya akili

watusi wanamatatizo makubwa sana kuliko yeyote anavyoweza kufikiria na ni zaidi ya wenda wazimu!
 
kwa maoni yako JWTZ ilikwenda vitani na nani na matokeo yalikuwa nini?!
 

Anaehangaika na kufukuza watu waliozaliwa hapa tangu enzi za nyerere, tukiwapa ajira sehem mbalimbli ndiyo

anayetakiwa kujitafakali maana hekima na busara hushinda jazba na ukurupukaji
na matokeyo yake unaweza

adhibiwa na kijakazi wako bila kuelewa umauti ukakupitia.
 

unatia najisi jukwaa letu, na mbaya zaidi hata unachobishania hukijui zaidi ya ushabiki wa kimende kama mlivyo, kama yote wewe na watusi wenzako mnayoyaandika huku mnayaamini kwanini mnag'ang'ania kuishi tanzania? Ndio maana nashawishika mna matatizo makubwa sana ya akili!
 
Lisemwalo lipo kama huyo mwanajeshi ni mnyarwanda na mathalani ukute ni jasusi na maneno yameshatembea kati ya waongoza nchi wawili hawa tulitegemea aendelee kuwa kazini? Kasepa bila sisi kuwa na taarifa kwa hiyo wahusika wachanganue mambo tusipuuzie ije kula kwetu.
 


Unafahamu manaa ya msemo wa mjasili haachi asili? haijalishi waliingia lini, bado wanahitaji kutendewa kwa wema, haki na staha maana hawa watu tunao kwenye mawizara mbalimbali nasijuwi kama mnaiona hatari hiyo

Pia kumbuka waswahili husema damu ni nzito kuliko maji na mdharau mwiba mguu huota tende mnafanya siasa na propaganda kisasa! hili tatizo nila facts siasa na propaganda sio mahala pake.

Napia wayahudi pamoja na kutawanyika ovyo dunia nzima kwa miaka kadhaa bado hufanya kulingana na nini wanataka wakwao.
 
Kipindi kile Mrema kuchukua nchi ilikuwa sio tishio mpaka kumuondolea uhai wake, ila ni wale wachache wa UWT waliojua ni kwa vipi Slim Boy kaichukua Rwanda na waliotumwa nao kwa kumfananisha na mwizi wa magari (White) walipotolewa Gerezani nao Qwishney
Hivyo kuwapunguza kidomidomi hawakuogopa kuja TZ fuatilia Article ya Mch Mtikila

Hapo ndio napomkumbuka mbabe km Mboma yeye hakuogopa mtu angepata ruksa kama kutoka kwa Lowassa wangetutambua kuwa sisi sio wa kuvamiwa mpaka uvunguni, mtu wetu anakuja burutwa na kuuawa, tunanyamaza.
MY TAKE
Hawa watu wapo kila kona ndio aana kuna jamaa kasema sio Askari huyo mmoja Luteni kanali kuna wengine wa3 hawajulikani waliko
By hamsinij


Sio huyo tu. Watatu kutoka sehemu nyeti hawajulikani walipo

MUNGU ni mkubwa tuvute subira
 

kumbe ukweli unautambua vizuri, sasa ndiyo maana tunawachapisha mwendo, hatuambiwi ! Mende ni lazima atokomezwe ndani na nje ya mupaka ya tanzania.
 


Unajinajisi wewe mwenyewe kwa kushindwa kuusema ukweli, bali umebaki kujikomba ukidhani unasaidia watawala,

kumbe unawapumbaza. Kila jambo lijadiliwe kwa kuzingatia ukweli na hatari mbele yetu, Taifa letu, watoto na vizazi vijavyo.

Itikadi ya kipuuzi ya kuishi kwa uadui mkubwa kati ya wayahudi na wapalestina ilijengwa enzi zile mpa hivi leo

hawana amani wala mapatano ya dhati. Hivyo ndivyo manavyoitabilia tanzania ya hapo baadaye?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…