Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Ukwaju jaribu mbinu nyingine hii umeumbuka gamba.
-Huwezi kunielewa kwasababu kichwani ww ni boga, ungekuwa makini na unaufahamu ungenielewa na kibaya zaid huwezi nishinda ujanja!!
Kwanini unachanganya post zangu mbili ambazo nimechangia kwenye mada tofauti?
1. posti ya kwanza ni kwenye thread yenye title [/B]Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!
2. Post ya pili umechukuwa kwenye mada
Mbowe, Lissu, Mnyika na Marando ndani ya Kasulu leo
kweli wewe ni limbukeni, soma maelezo yangu hapa chini uone ulivyochizi
Pitia maswali yangu kwenyeblue ndani ya bandiko lako, utakuwa timamu kama utayajibu kwa usahihi.
Hapa chini ukwaju ni swali ambalo nilikuuliza kutokana na maelezo ya bandiko lako hapo juu, ukashindwa kujibu kabisaa hatima yake ukazuka na uzushi!!!!
By adolay![]()
![]()
Kama unauwezo huo, huyu alipenya vipi mpaka kupewa kitengo nyeti namna hiyo?
Unakifaham vema unachokijadili mkuu?
Kuhusu bandiko la hapo chini swala hilo nilijadili kwa kumquote Ntakandi
-Title ya thread nitofauti na hii, upumbavu wako umechukuwa quote yangu kutoka posti tofauti na kwa swali tofauti maana hukuulizwa wewe ukaileta na kuichanganya huku, nadhani hunaakili timamu, na Ukwaju huwezi nizidi ujaja wewe ni ----- tu.
a) tittle yake ni
Mbowe, Lissu, Mnyika na Marando ndani ya Kasulu leo
b) post number 14 nikimjibu Ntakandi, aliyetowa maelezo haya hapa chini na maelezo yangu kwake yanafuatia chini yake.
By adolay![]()
![]()
Kati ya mwigulu na mahakama nani anastahili kikatiba kutoa malelezo na maamuzi ya haki?
-cd ya uwongo ya Lwakatale -Mwigulu
-ugaid wa kupika kwa Kilewo - Mwigulu
-kusema uwongo na ovyoovyo - Mwigulu
Kama kunawatanzania wanaomwamwini Mwigulu mpaka sasa lazima wanatatizo
kwautaratibu huu nakuonea huma sana...........................................................
[/B]a) Wenzangu waliokuelewa wewe ni akina nani? kwa huu upotoshaji wakipumbavu
b) kati yangu mimi nawewe nani anachuki na kilaza?Umechukuwa quote kutoka mada tofauti tena nikimjibu mtu tofauti kwa swali tofauti ukaleta kwenye thread tofauti si ushamba na upumbavu!!!! eti sieleweki utaelewaje unachanganya michango ya mada tofauti uonekane unazo, akili za kimwigulu chemba hizi
Tatizo lenu washabiki wa ccm, nikuishi kwa uwongo kama ulivyodanganya hapo juu, kuchanganya thread mbili tofauti wewe ni ----- hakuna mfano kama alivyo mwigulu na matatizo ya akili nadhani unasifa zote za kimwigulu
unadhani mi ----- kama wewe unaeishi kwa uwongo, propaganda na unafiki! nimekushushua jaribu mbinu nyingine
-Sioni ajabu kuwaamini kwanza sioni tofauti kati yako na mwigulu na huyo kinana
kama unaweza kuchanganya michango ya mada mbili tofauti uonekane unaweza kuchambua mada, unatofauti gani na:-
1. Mwigulu anayehubili chuki anayezushia wengine ugaidi kwa ushamba na ulimbukeni kuchonga hadi cd, na wewe kunizushia uwongo hapa jukwaani
2. Kinana anayekubali kwamba meli yake inatumika kusafirisha nyara za serikali, na akiwa kiongozi wa juu kabisa katika ccm maiti bila aibu wala woga.
Kwa uwiano wa upumbavu na ujinga ni sahihi kwako kuwaaamini maana hata wachawi huaminiana wao kwa wao.
Mkuu tafuta daktari wa mambo ya AKILI, unaumwa.... unachanganya sana mada, hiyo si hali ya kawaida... UNAUMWA NA TUNAOKUPENDA TUNAKUSHAURI NENDA KWA DAKTARI WA MATATIZO YA AKILI
