Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwanja wa mapambano hautavuka mto kagera! labda mguu wa bata wa kupambana na waliopo jirani yako.
Naenda kulala, maana huna unachofahamu umebaki kutukana na vijembe, usiku mwema.
NI LUTENI KANALI kitengo cha teknolojia ya mawasiliano ya kijeshi (IT).
Nchi ndogo yenye jeuri ya kukoromea kubwa ni israel tu...the rest wana beep...hata hiyo israel ilishindwa kuvamia iraq that's why she ended up pushing america and britain to engage saddam hussein...
sio mm ila nimekupa Link kwa muda wako uisome kwani hata Imran Kombe alikuwa UWT hzi habari sio za uongo na za Jaji Mwaikusa mbona zimo humuhumu?tafuta hata kwa GoogleUkwaju.
Naona wewe ndio unataka kumpaisha Kagame zaidi ya uwezo wake, eti Imran Kombe na Prof Mwaikasu wameuawawa na Kagame bila Usalama wa Tz kujua??? hizi conspiracy theory zako zinadhalilisha sana vyombo vyetu vya usalama.
Ukiendelea hivi siku moja utakuja kusema hata kifo cha Daudi Mwangosi Kagame anahusika pia hahaha
Nayeye alikuwa muhamiaji haramu, ametii amri ya Amiri Majeshi bila shuruti!
Mtikila's allegations - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-tanzania.html
sioni uhusiano wa kufa kwa wakili na uhusiano wa ushahidi dhidi ya kagame kupotea, hiki ni kizungumkuti kingine.
Ipo siku kila kitu kitakuwa hadharani tusubiri km MUNGU ni huyu tunayemuaminiA few days later, Bill Clinton landed at the airport in Kigali, Rwanda, and after the famous speech, he ordered Paul Kagame to kill anyone who may know the assassination of Habyarimana, starting with those listed on the memo Hourigan had given Louise Arbour in The Hague a few days ago: it was the beginning of the long history of assassinations around the world and around the clock.
But in January 2009, when Obama became U.S. President Clinton and Kagame, who were friends in crime, become enemies to justice. Why? Obama Kagame ordered the arrest of the Congo General Laurent Nkunda and Kagame reaction plotted to kill Obama, seeking help from Clinton and Tony Blair to shoot Air Force One, in exactly the same way he done to eliminate Dr. Alison Des Forges. When the information became public, probably knew that Obama, Clinton himself had taken the distance Kagame.
naomba nisahihishwe hapo kwenye RED kuna #112 imeonekana ni post yangu, au iko kibahati mbaya kweny post zangu zangu hiyo sio mm na siwezi kumkashifu Rais wanguDOCUMENTARY itakuja tu MUNGU wetu ni mkubwa kwa hawa madiktekta
Kombe mauaji yake kuna conspiracy theory nyingine kuwa alikuwa nyuma ya Lyatonga Mrema kabla hajawa ------- kisiasa, Kuhusu Mwaikusa kuna conspiracy theory ya kuonana uso kwa uso na Daud Balali nasikia mtanzania ukimuona Balali ndio mauti yako, kafichwa kukibeba chama na serikali. JK haaminiki unaweza kuwa ni vita ya kugombea demu na Kagame, we need to dig more.
Majanga
Ushahidi hautapotea ila atakayejipeleka kuutoa atamalizwa hata abebwe na Air Force One
Ipo siku kila kitu kitakuwa hadharani tusubiri km MUNGU ni huyu tunayemuamini
du mimi ni Mkabila haswa siwezi kumpenda Mtutsi hata awe Ikulu, leo nakunywa maana kuna Kigingi kimoja kimeng'ooka huko Wizarani maana kilikuwa kinawakingia wenzake viwanja na huenda ndio mwanzo wa kuwasaka hata walioko Ikulu maana Kagame ndio anawasiliana naoukwaju naona umemgeuza kagame mungu