Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

Ndagullachrles

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
256
Reaction score
259
Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13.

Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa imedhibitisha kukamatwa kwa ofisa huyo mwenye cheo cha sajini anayehudumu kwenye Gereza kuu la mkoa wa kilimanjaro la karanga.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Juni 14 mwaka huu saa kumi jioni katika kijiji cha Rauya kilichopo kata ya Marangu Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini ambako ndipo makazi ya askari huyo yalipo.

Japo Taarifa hiyo haijataa jina la askari huyo lakini duru za kiuchunguzi kutoka Marangu zimemtaja askari huyo kwa jina la Emmanuel Nyange,baba wa familia ya watoto wawili ambaye hadi sasa anashilikiwa kwenye kituo kikuu cha polisi kwenye mji mdogo wa Himo uliopo wilaya ya Moshi.

Taarifa ya kamanda Mtagwa imeeleza kuwa taratibu za kiutumishi na kijeshi zinaendelea dhidi ya askari huyo na zitakapokamilika taratibu za kisheria zitafuata ikiwamo kufikishwa mahakamani.

Mtu mmoja aliyezugumza nami kutoka marangu anasema watoto wengi wamedahlilishwa kingono na asakri huyo lakini imekuwa vigumu kwao kujitokeza kwani baadhi yao kwa sasa ni wakubwa hivyo wanaona ni tukio la aibu kujitokeza.
 
Atakuwa muislamu huyo askari
Mpumbavu wewe. Babu seya alikuwa muislam?
Wale mapandre wanaokamatwa na kushtakiwa kila siku kwa ulawiti ni waislam?
Mwaka 2006 Padre kimaro wa parokia ya mlandizi alikamatwa kule UDSM njia a kwenda msewe akimlawiti mtoto mdogo kwenye gari yake aina ya suzuki vitara. Tuseme Padre kimato alikuwa muislamu???
 
Naongelea huyo Askari kwenye mada acha kuruka ruka wewe
 
Mpumbavu wewe. Babu seya alikuwa muislam?
Wale mapandre wanaokamatwa na kushtakiwa kila siku kwa ulawiti ni waislam?
Mwaka 2006 Padre kimaro wa parokia ya mlandizi alikamatwa kule UDSM njia a kwenda msewe akimlawiti mtoto mdogo kwenye gari yake aina ya suzuki vitara. Tuseme Padre kimato alikuwa muislamu???
Mkuu Mbona povu linakutoka!! Ki uhalisia ni kweli waislamu ndiyo vinara wa matukio haya... Takwimu zipo.. Kama uongo niletee matukio kumi ya ubakaji na ulawiti.. Halafu tusome majina tuone..
 
Maaskari hawa ndio makada wa CCM
 
Mkuu Mbona povu linakutoka!! Ki uhalisia ni kweli waislamu ndiyo vinara wa matukio haya... Takwimu zipo.. Kama uongo niletee matukio kumi ya ubakaji na ulawiti.. Halafu tusome majina tuone..
Usinipeleke kwenye mijadala yako ya kidini mm siyo muumini wa hayo madini yenu ya wakoloni.
Ni ujinga na upumbavu karne hii unafifisha mijadala ya maana kisa dini? Kama unazo hizo takeimu ungeziweka hapa ili upinge za kwango siyo kubwabwaja kama mwehu. Mapovu uliyaona wapi? Nimejibu kwa ushahidi wewe weka wa kwako siyo kuleta utoto
 
Hii inaonesha watu sampuli hiyo,hizo ni tabia walizoanza aidha utotoni kwa kudinywa yeye mwenyewe,kudinya wenzake au kudinyana kwa zamu.Vilevile,kuna uwezekano mwingine watu hawa hujifunza hata ukubwani kwa wanaume wenzao, wanawake wanaokutana nao au wake zao.Sheria ichukue mkondo wake iwapo ikithibitika tuhuma dhidi yake ni kweli,kweli kabisa bila kutia shaka.
 
Mpumbavu wewe. Babu seya alikuwa muislam?
Wale mapandre wanaokamatwa na kushtakiwa kila siku kwa ulawiti ni waislam?
Mwaka 2006 Padre kimaro wa parokia ya mlandizi alikamatwa kule UDSM njia a kwenda msewe akimlawiti mtoto mdogo kwenye gari yake aina ya suzuki vitara. Tuseme Padre kimato alikuwa muislamu???
Usiwe mkali hamna ambae hajui kwenye walawiti 10 8 waislamu.
 
Huyu inawezekana alikuwa anafira hata wafungwa
Hata kama ana mke, sidhani kama amepona kupigwa rungu la sajenti.Unakuta jitu shambashamba likifika mjini na kushika hela tu,na uhayawani linaanza.
Au hao ndiyo hutumika kuwafira na kuwabaka watuhumiwa wa mambo ya kisiasa na kuikosoa serikali?
 
Back
Top Bottom