Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

Hayo matukio yanafanywa na wagonjwa wa akili!
Cha ajabu, unaweza kukuta mtu mzima ambaye unadhani yupo timamu kiakili,anawasimulia wenzake kijiweni jinsi alivyo mahiri wa kutafuna "tIGO" za wanawake au watoto.
 
Ye baba mzivue kabisa zisiwaletee usumbufu
Wee jamaa acha mambo yako..
Ki namaanisha kuzichapa live live an kupigana ngumi yaani vitasa live live

Ulingoni an mgumi ngumi mkuu..
Naona unataka kujitoa akili
 
Wee jamaa acha mambo yako..
Ki namaanisha kuzichapa live live an kupigana ngumi yaani vitasa live live

Ulingoni an mgumi ngumi mkuu..
Naona unataka kujitoa akili
Kumbe paling mtu mbili ndio vueni boxer zenu na hizo vest mpigane kavu kavu bila groves
 
Watu wana hasra kinoma an baada ya ile comment daaah nikaona watu wame rise...
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Ila humu kuna watu hawapo seriously kabisa
Ajabu kabisa.Unaanzaje kubishana na mtu ambaye hamuonani uso kwa macho? Ukikutana na mchizi-fresh anakusumbua hadi utoe maneno yote ya sandukuni.
 
Japo Taarifa hiyo haijataa jina la askari huyo lakini duru za kiuchunguzi kutoka Marangu zimemtaja askari huyo kwa jina la Emmanuel Nyange,baba wa familia ya watoto wawili ambaye hadi sasa anashilikiwa kwenye kituo kikuu cha polisi kwenye mji mdogo wa Himo uliopo wilaya ya Moshi.
Na haya mambo yanachukua kasi sana hivi sasa
 
Naweza kusema hii ni aibu kubwa sana kwa ofisa wa jeshi la magereza kushikiliwa na jeshi la Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 13.

Taarifa fupi ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na kaimu RPC,kamishna msaidizi wa jeshi la polisi(ACP),Abel mtagwa imedhibitisha kukamatwa kwa ofisa huyo mwenye cheo cha sajini anayehudumu kwenye Gereza kuu la mkoa wa kilimanjaro la karanga.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Juni 14 mwaka huu saa kumi jioni katika kijiji cha Rauya kilichopo kata ya Marangu Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini ambako ndipo makazi ya askari huyo yalipo.

Japo Taarifa hiyo haijataa jina la askari huyo lakini duru za kiuchunguzi kutoka Marangu zimemtaja askari huyo kwa jina la Emmanuel Nyange,baba wa familia ya watoto wawili ambaye hadi sasa anashilikiwa kwenye kituo kikuu cha polisi kwenye mji mdogo wa Himo uliopo wilaya ya Moshi.

Taarifa ya kamanda Mtagwa imeeleza kuwa taratibu za kiutumishi na kijeshi zinaendelea dhidi ya askari huyo na zitakapokamilika taratibu za kisheria zitafuata ikiwamo kufikishwa mahakamani.

Mtu mmoja aliyezugumza nami kutoka marangu anasema watoto wengi wamedahlilishwa kingono na asakri huyo lakini imekuwa vigumu kwao kujitokeza kwani baadhi yao kwa sasa ni wakubwa hivyo wanaona ni tukio la aibu kujitokeza.
kiswahili sanifu ni kuthibitisha sio kudhibitisha
 
Ahahahahha watu wanavurugwa kabisa an hawaelewi..
Kuna mmoja huwa namzingua aiseee alinifata adi PM kunionya
Kuna wale wanaitwa "kobazi"(wavaa makatambuga yametoboka kwenye visigino,marefu kuliko miguu yao iliyochanika visiginoni),huwa nawacharua wanajichukiza.Kumbe muda huo mimi nipo kilabuni nakunywa zangu komoni huku nawacheka wanavyopaniki.
 
Ndugu yangu Mbona Povu kiasi icho? Yeye kasema inawezekana huyu Mfiraji ni Muislam- Sasa Wewe Povu lote ilo la Nini Mbaka Unatoa mifano Mwingi Ambayo Aina Afya, Oja ujibiwa Kwa Oja Je Kweli Akiwa Muislam- Sura Yako utaificha Wapi?
Hakuna muislamu anayeitwa Emanuel kuwa na akili
 
Kuna wale wanaitwa "kobazi"(wavaa makatambuga yametoboka kwenye visigino,marefu kuliko miguu yao iliyochanika visiginoni),huwa nawacharua wanajichukiza.Kumbe muda huo mimi nipo kilabuni nakunywa zangu komoni huku nawacheka wanavyopaniki.
Nimepiga marufuku hili neno kobazi..
Naona tutashindwana sasa hvi mkuu...

Na mimi ugomvi wa mitandaoni siutaki natakaga tutafute sehemu tuzipange live live aiseeee 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Nimepiga marufuku hili neno kobazi..
Naona tutashindwana sasa hvi mkuu...

Na mimi ugomvi wa mitandaoni siutaki natakaga tutafute sehemu tuzipange live live aiseeee 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Okay.Umeeleweka.Naliboresha hilo neno.From now on,ziitwe TALAWANDA!Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom