CHANANJA THE BIG DYNASTY
JF-Expert Member
- Sep 14, 2024
- 1,272
- 1,873
huyu afande mpenda mk*ndu, inatakiwa anyongwe tu ili iwe fundisho kwa wenzake wenye tabia chafu kama hiyo.
Ni bwana Emmanuel Nyange wa parokia ya HimoAtakuwa muislamu huyo askari
Ndugu yangu Mbona Povu kiasi icho? Yeye kasema inawezekana huyu Mfiraji ni Muislam- Sasa Wewe Povu lote ilo la Nini Mbaka Unatoa mifano Mwingi Ambayo Aina Afya, Oja ujibiwa Kwa Oja Je Kweli Akiwa Muislam- Sura Yako utaificha Wapi?Usinipeleke kwenye mijadala yako ya kidini mm siyo muumini wa hayo madini yenu ya wakoloni.
Ni ujinga na upumbavu karne hii unafifisha mijadala ya maana kisa dini? Kama unazo hizo takeimu ungeziweka hapa ili upinge za kwango siyo kubwabwaja kama mwehu. Mapovu uliyaona wapi? Nimejibu kwa ushahidi wewe weka wa kwako siyo kuleta utoto
Muulize MamaAu hao ndiyo hutumika kuwafira na kuwabaka watuhumiwa wa mambo ya kisiasa na kuikosoa serikali?
Ndio aliewahi kukuficha?Ni bwana Emmanuel Nyange wa parokia ya Himo
Kwanini atakuwa ni muislamu?Atakuwa muislamu huyo askari
Hivi padre Kimaro alihukumiwa miaka mingapi?Mpumbavu wewe. Babu seya alikuwa muislam?
Wale mapandre wanaokamatwa na kushtakiwa kila siku kwa ulawiti ni waislam?
Mwaka 2006 Padre kimaro wa parokia ya mlandizi alikamatwa kule UDSM njia a kwenda msewe akimlawiti mtoto mdogo kwenye gari yake aina ya suzuki vitara. Tuseme Padre kimato alikuwa muislamu???
Uhaini.Muulize Mama
UgaidiUhaini.
Kudadek we jamaaa. Fanya tuonane tuzichape live live sasa maana kutukanana na watu humu nimechoka....Atakuwa muislamu huyo askari
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Ila kuna watu by natural ni wakorofi aiseeeeKama alitumia cheti cha mtu mwingine/fake?
Mzichape mkiwa uchi au sioKudadek we jamaaa. Fanya tuonane tuzichape live live sasa maana kutukanana na watu humu nimechoka....
Kudemka.Ugaidi
Unatakiwa uwe mbishi na majibu yawe karibu na meno kila wakati.😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Ila kuna watu by natural ni wakorofi aiseeee
MachaleKudemka.
Mizinguo.Machale
Hapana mkuu..Mzichape mkiwa uchi au sio
KundesaMizinguo.