Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Sema tu Mtanzania awe mkristu au muislamu wote wamekutana na dini utotoni ni za wazungu na waarabu harafu ninyi mpo busy kugombana kisa dini za walowezi..Naongelea huyo Askari kwenye mada acha kuruka ruka wewe