Askari magereza mbaroni kwa kumlawiti mtoto wa kiume miaka 13

Hayo matukio yanafanywa na wagonjwa wa akili!
Cha ajabu, unaweza kukuta mtu mzima ambaye unadhani yupo timamu kiakili,anawasimulia wenzake kijiweni jinsi alivyo mahiri wa kutafuna "tIGO" za wanawake au watoto.
 
Ye baba mzivue kabisa zisiwaletee usumbufu
Wee jamaa acha mambo yako..
Ki namaanisha kuzichapa live live an kupigana ngumi yaani vitasa live live

Ulingoni an mgumi ngumi mkuu..
Naona unataka kujitoa akili
 
Si wanajidai wana jazba sana.Unashikilia hapohapo hadi atoe mlio kama mbwa kabondwa mguuni.Bweeeyeeeyeee!
Watu wana hasra kinoma an baada ya ile comment daaah nikaona watu wame rise...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Ila humu kuna watu hawapo seriously kabisa
 
Wee jamaa acha mambo yako..
Ki namaanisha kuzichapa live live an kupigana ngumi yaani vitasa live live

Ulingoni an mgumi ngumi mkuu..
Naona unataka kujitoa akili
Kumbe paling mtu mbili ndio vueni boxer zenu na hizo vest mpigane kavu kavu bila groves
 
Watu wana hasra kinoma an baada ya ile comment daaah nikaona watu wame rise...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Ila humu kuna watu hawapo seriously kabisa
Ajabu kabisa.Unaanzaje kubishana na mtu ambaye hamuonani uso kwa macho? Ukikutana na mchizi-fresh anakusumbua hadi utoe maneno yote ya sandukuni.
 
Na haya mambo yanachukua kasi sana hivi sasa
 
kiswahili sanifu ni kuthibitisha sio kudhibitisha
 
Ahahahahha watu wanavurugwa kabisa an hawaelewi..
Kuna mmoja huwa namzingua aiseee alinifata adi PM kunionya
Kuna wale wanaitwa "kobazi"(wavaa makatambuga yametoboka kwenye visigino,marefu kuliko miguu yao iliyochanika visiginoni),huwa nawacharua wanajichukiza.Kumbe muda huo mimi nipo kilabuni nakunywa zangu komoni huku nawacheka wanavyopaniki.
 
Ndugu yangu Mbona Povu kiasi icho? Yeye kasema inawezekana huyu Mfiraji ni Muislam- Sasa Wewe Povu lote ilo la Nini Mbaka Unatoa mifano Mwingi Ambayo Aina Afya, Oja ujibiwa Kwa Oja Je Kweli Akiwa Muislam- Sura Yako utaificha Wapi?
Hakuna muislamu anayeitwa Emanuel kuwa na akili
 
Kuna wale wanaitwa "kobazi"(wavaa makatambuga yametoboka kwenye visigino,marefu kuliko miguu yao iliyochanika visiginoni),huwa nawacharua wanajichukiza.Kumbe muda huo mimi nipo kilabuni nakunywa zangu komoni huku nawacheka wanavyopaniki.
Nimepiga marufuku hili neno kobazi..
Naona tutashindwana sasa hvi mkuu...

Na mimi ugomvi wa mitandaoni siutaki natakaga tutafute sehemu tuzipange live live aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Okay.Umeeleweka.Naliboresha hilo neno.From now on,ziitwe TALAWANDA!Hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…