Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Sema tu Mtanzania awe mkristu au muislamu wote wamekutana na dini utotoni ni za wazungu na waarabu harafu ninyi mpo busy kugombana kisa dini za walowezi..Naongelea huyo Askari kwenye mada acha kuruka ruka wewe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaaaah hii ukorofi ni kipaji not for everyone aiseeee...Okay.Umeeleweka.Naliboresha hilo neno.From now on,ziitwe TALAWANDA!Hapo vipi?
Tena hawa wa dini ya kizungu,wanafanya mchezo huu sanaMpumbavu wewe. Babu seya alikuwa muislam?
Wale mapandre wanaokamatwa na kushtakiwa kila siku kwa ulawiti ni waislam?
Mwaka 2006 Padre kimaro wa parokia ya mlandizi alikamatwa kule UDSM njia a kwenda msewe akimlawiti mtoto mdogo kwenye gari yake aina ya suzuki vitara. Tuseme Padre kimato alikuwa muislamu???
Mkuu Mbona povu linakutoka!! Ki uhalisia ni kweli waislamu ndiyo vinara wa matukio haya... Takwimu zipo.. Kama uongo niletee matukio kumi ya ubakaji na ulawiti.. Halafu tusome majina tuone..
Atakuwa muislamu huyo askari
Acha uchochezi,kwamba waislamu ndo wanafanya haya matendo?,kwa nia gani?Mkuu Mbona povu linakutoka!! Ki uhalisia ni kweli waislamu ndiyo vinara wa matukio haya... Takwimu zipo.. Kama uongo niletee matukio kumi ya ubakaji na ulawiti.. Halafu tusome majina tuone..
Ndio maishaMaisha ni fumbo kubwa.. Anaenda kukutana na aliokuwa akiwalinda lakini sasa naye akiwa mlindwa