WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
Huyo Mwakibinga ni utopolo tu ....Tumia akili yako usije ukaonekana na wewe ni utupolo...Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
Amekueleza wewe kama mkewe au?Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
IQ ni nini?
Unaweza kuielezea na kuitetea kwa uthabiti kwamba ni kitu kilichopo kweli na si hadithi ulizomezeshwa jumlajumla tu?
Na unaposema "mnafanya makosa" unanihusishaje mimi na kufanya makosa?
Mimi ninefanya makisa gani? Unaweza kuyataja hapa?
Unaelewa unachoandika au unaharisha tu?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Natamani watoke haraka,kisha warudi kule gerezani kuwaonesha askari kuwa wao ni makamandaKina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
Muhimu sana. Sio mambo ya kuzuazua kwenye kila kitu. Hao wapinzani walivunja sheria au taratibu gani?Toa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
Ujinga upi?Makisha ndio nn mkuu.sasa unatetea ujinga walichofanya wajinga hao wa chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
Eti hawana mikakati, kama watu wananyimwa haki yao ya kikatiba kufanya kazi za kisiasa jaribu kutumia akili hata kwa asilimia moja
Haya ni mawazo ya kizamaniHivi mbona mnajishaulisha kuwa CCM ndiyo wenye dola..? mlimsikiliza polepole anawambia yeye ni msaidizi wa Magufuli kama mwenyekiti wa CCM kwa upande mwingine tambua pia ni Rais.
Haya ya ubishi wa kijinga ndiyo yaliyopelekea TL akambwatuliwa. Mtoto hawezi kumtukana mzazi wake afu adai ale na kutunzwa na mzazi huyohuyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani pole pole ni mpinzani?Toka lini au ulisikia wapi siasa zinaenda kufanywa gerezani tatizo la upinzani wanataka sana watanzania na dunia nzima iwaonee huruma au wahalalishe uvunjaji wa sheria kisa tu ni wanasiasa wana haki ya kufanya demokrasia !
Hata kilichoandikwa umeshindwa kuelewa kweli! Wewe hapa Ndio umejionyesha ni mjinga wa kiwango Cha SGR!!!Huyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.