Shomari SN
Senior Member
- Apr 12, 2018
- 118
- 188
Hata mimi nimesimuliwa tu bwashee na huyu mstaafu!
Inamaana wewe hukupata kirungu hata Cha ugoko Mkuu maana kwa maelezo haya Kama ulikuwepo kabisa..Askari wote nchi wanaopanda vyeo ni makada wa ccm. Ni nadra sana kupata askari ambaye sio mwanachama na kada wa ccm. Kazi hizi hutokewa kwa upendeleo huu tangu wakati wa chama kimoja
Kwa alie wahi kwenda Segerea anajua utaratibu ni upi.
Hawa kina Halima mdee sio mara ya kwanza kwenda Segerea na Safari ya kwenda kumtoa Mbowe baada ya kulipa faini iliongozwa na Wakili wa Chadema kama taratibu.
Msafara wa magari ulimalizia nje gate no. 1 na magari machache yali ruhusiwa kupita kwa kibali kama kawaida
Kuingia ndani kuna gate namba mbili ambako ukipita unapokelewa kwa ajili ya taratibu nyengine.
Msafara huu wa kina halima uloruhusiwa haukufika gate namba mbili kwani ulikua ni kama unasuburiwa uingie kwenye himaya ya magereza.
Ulipokua njiani kwenda gate namba mbili walianza kuwa attacked na askari magereza kwa kushushwa kutoka ndani gari zao na kuanzanza kupigwa vipigo na bila msaada wowote.
Tunasema kina halima , bonny na Bulaye wao waliruhusiwa kwenda ndani na wakapigwa huko ndani na askari magereza.
Kwa wale ambao walikua nje ya barabarani wakaletwa askari wa staki shari na kuanza kuwapiga kwa mabomu na risasi za moto.
Hivyo sakata zima ni la kupanga kabisa na askari wa magereza walofanya uhalifu wengine waliwaambia kina Halima kuwa tulikua tunakusubirini.
Boniface yeye ali nongonezwa astahamiki kichapo asijaribu kukimbia kwani amri angekimbia angepigwa risasi.
Kilicho fanyika ni ushenzi na unyama wa ccm kwa kulitumia jeshi la polisi na magereza ambao ni makada wao kufanya ushenzi ule.
Sent from my iPad using JamiiForums
Unaambiwa hapa usipite wewe unapita ukila mbata unalalamaYaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!
Mstaafu naona kamaliza pensheni yake mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwepo?Pole pole walifuata taratibu. Kosa ni kujifanya ni makamanda awajali cho chote, ndilo tatizo. Piiiiipoooooziiiii wanahashisha watu, eti nguvu ya umaa. Wewe, askari magereza, na tunavyo wanyali. Tundipo wanakuonyesha UKAMANDA WAO
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu hivi kila mtu hapa ni bwashee?Nimekuelewa sana bwashee!
Mm huwa narudia rudia kila siku humu, ikiwa akili na tabia za viongozi wa CHADEMA ndio kama za akina Halima, Bulaya, ujue wafuasi/followers wao ni nusu mfu, haiwezekani kabisa uwe kiongozi tena mbunge ambaye anajua kabisa sheria alafu unaenda kuleta vurugu, fujo na kuvamia geti la magereza huku ukijua hilo ni kosa kubwa sana. Je wangewashinda Askari magereza nguvu sbb walikuwa wengi na wafungwa wa magereza wangetoka na kukimbia ingekuwaje? Hili ni kosa kubwa sana haihitaji hata mtu kuwa mwanasheria kujua hili. Hii ni sawa kuvamia kituo cha polisi ukiwa na wafuasi 27 na kuanza kupambana na maskari walioko kituoni. Upumbavu usio na mfano huu, wamedekezwa sana akina Halima, ingekuwa mm ndio IGP, hiiiiii, haiwezekani mtu utoke huko na wafuasi hadi 27 alafu unavamia magereza lenye wafungwa kadhaa, haiwezekani, kisa unajiona mwanamke unatumia gender kama kinga labda usipigwe, nasema mm ningepiga hadi namdandia mgongoni, pumbaf Halima ww, umeonyesha hufai hata kidogo kuwa kiongozi, adhabu yao najua itakuwa kali sana, tusubiri 😡😡
Kina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
Maelezo yake ni kweli kwa sababu hawa jamaa wa magereza huwa hawatumii akili ili kufikiri, bali wanatumia makalio.
Wenye kutumia akili huwa wanatumia maarifa kufanya maamuzi, hata poli si wetu vilevile nao sijui wanakwama wapi.
Wanashindwa hata kutafuta ka uwongo kanakofanana na ukweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakaa uswekeni huko mpk upande juu ya mlima Ndio ulog in Humu JF, utawaonea wapi!?!Sishangai nchi hii sijawahi kuona Askari magereza mwenye maendeleo
Kiranga, WAKATI HIVYO VIFUNGU VINAPOKUWA VINATAFUTWA WAHUSIKA WATAKUWA WAMELAZWA HOSPITAL WAKIWA VILEMA NA UKISHA KUWA KILEMA WEWE SI YULE TENA YAKIPITA MAWINGU TU UNAGUGUMIAToa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tatizo wana midomo, ni bora washinde kesi kuliko kuwasamehe, maana wakiwaacha ndiyo watasema umeona walituonea, na wanaweza fungua kesi na vianasheria vyao wahuni.Wasamehewe tu bwashee hii ni mizuka ya kisiasa!
Uandishi wako kama vile ni Ndugu yetu P, na multiple IDsAfisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
Kama Baba Mkuyenge!Amekueleza wewe kama mkewe au?
unazani kila Askari ni mzima kichwani?
Sent using Jamii Forums mobile app