Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Nazidi kumuomba Mungu sana tu

Ila sio mnajikuta tatizo mnaendekeza sana hisia zenu ziwaendeshee maisha na mnamuacha Mungu

Kwani unadhani wasiozini hawana hamu? Ila ni kule kumuogopa Mungu na kumfuata

Dah we acha tu shetani ana nguvu sanaa ila tujaribu kumshinda shetani
Wasiozini harafu hawajaoa wengi wao no mahanithi na wapiga punyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Police wapo hovyo sana kwenye emergency. Wanapigiwa simu usiku saa 9 wanaenda asubuhi saa 1.

wakati wale askali wa doria wa usiku wanashinda karibu na bar zinazokesha.Wangewahi jamaa wangemuwaisha hospital labda angepona.
 
Huyu Askar mbona kama kauwawa? Hivyo vitu alivyokutwa navyo kuvitaja hadharan Ni aibu Sina uhakika kama kazi YA kumpekua ilifanywa Na polisi ama raia?
 
Sasa kama.na hao wengine walipata malaya. Hii nchi inalindwa na Mungu tu.
1. Askari anakaa bar anapiga mitungi sawa na nyie ikitokea ambush moja hapo kama ya wasomali chali.
2. Askari anaingia lodge saa 6 usiku na mwanamke then anajaribu kumuibia mwanamke simu na chipsi.. useme kuna ulinzi..
hapo ni Mungu tu ndo anatulinda..
 
Kwanza Polisi aibee chips za jana kweli?? Kuruka ukuta wa Guest sijawahi sikiaa yanii kwani gest si kuko wazi muda wote mtu anatoka na kuingiaa... aibee mpaka simu kwelii alafu wakati wa kuruka ukuta aangukie kitu chenye ncha kali mmh. Hii taarifa either ni inside job au robbery fail bhasi ila sio hii story inagoma kabisaa sema anyway kama alikuwa target inside job bhasi story haiwezi badilika.
 
Kwanza Polisi aibee chips za jana kweli?? Kuruka ukuta wa Guest sijawahi sikiaa yanii kwani gest so kuko wazi muda wote mtu anatoka na kuingiaa... aibee mpaka simi kwelii alafu aangukie kitu chenye ncha kali mmh. Hii taarifa either ni inside job au robbery fail bhasi ila sio hii story inagoma kabisaa sema anyway kama alikuwa target inside job bhasi story haiwezi badilika.
Jiulize ulitaka waseme chips za Leo akati kifochake ni uck baada ya 6 uck ,huoni inakua siku mpya au ulitamani wasemeje
 
polisi wana njaa,lakini za kuiba chipsi na simu za malaya hizi ni fitna za maji taka.

inawezekana kabisa hilo tukio ni la kuchora kwa malengo maalum,yaani toka kuingia guest mpaka mwisho wake ni planned.

kingine ni namna polisi wenyewe walivyofanya wepesi kuachia taarifa mbovu namna hiyo public,kila mtu anawajua polisi fedheha ikiwa upande wao wanavyohangaika kuificha.
hapa kuna uhuni.
 
Sasa kama.na hao wengine walipata malaya. Hii nchi inalindwa na Mungu tu.
1. Askari anakaa bar anapiga mitungi sawa na nyie ikitokea ambush moja hapo kama ya wasomali chali.
2. Askari anaingia lodge saa 6 usiku na mwanamke then anajaribu kumuibia mwanamke simu na chipsi.. useme kuna ulinzi..
hapo ni Mungu tu ndo anatulinda..

yah acha mlango wazi lala,Mungu anakulinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
polisi wana njaa,lakini za kuiba chipsi na simu za malaya hizi ni fitna za maji taka.

inawezekana kabisa hilo tukio ni la kuchora kwa malengo maalum,yaani toka kuingia guest mpaka mwisho wake ni planned.

kingine ni namna polisi wenyewe walivyofanya wepesi kuachia taarifa mbovu namna hiyo public,kila mtu anawajua polisi fedheha ikiwa upande wao wanavyohangaika kuificha.
hapa kuna uhuni.
Kuna uwezekano mkubwa kamanda kachomolewa Na wenzake.
 
polisi wana njaa,lakini za kuiba chipsi na simu za malaya hizi ni fitna za maji taka.

inawezekana kabisa hilo tukio ni la kuchora kwa malengo maalum,yaani toka kuingia guest mpaka mwisho wake ni planned.

kingine ni namna polisi wenyewe walivyofanya wepesi kuachia taarifa mbovu namna hiyo public,kila mtu anawajua polisi fedheha ikiwa upande wao wanavyohangaika kuificha.
hapa kuna uhuni.
Alafu anaingia guest na radio call mkononi kwenda kuzinii daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa jamaa wanazinguaa ilaa hii sasa wamestage vibaya tukio ni mbuzi wa bwana heri shamba la bwana herii.
 
Back
Top Bottom