reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
شش[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vifo Kama hivi ni hatari huyu anaenda motoni moja kwa moja yeye pamoja na wazinzi wote Duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
شش[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vifo Kama hivi ni hatari huyu anaenda motoni moja kwa moja yeye pamoja na wazinzi wote Duniani.
[emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaahKama ulishawahi kusikia "Polisi jamabazi" basi ndio huyo marehemu njagu from Bukoba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu mna akili Sanaa dahhhHuyo kafumaniwa katika kujiokoa ndo likatokea la kutokea ila sio hii story wanayosema hapa.
Kuna dalili za Framework, hai make sense askari mtu mzima kufanya aliyoyafanya. Wazee wa CUBA tumeshajiongeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniiiiHatimaye nimekutana na msiba unaochekesha duh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnanichekeshaIla waandishi nao jamani wanaripoti mpk kiepe si wangekausha tuu
Subhaana llaah nnzito mnoo Kuna mama mtwara alikataa maiti ya mmewe isiingie ndani alifia gesti hvyo hvyoAllah atuongoze wallah ni mtihani mno, nawaza hata aibu ya wazazi wa marehemu
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari amedhulumu K...ukute ndo michezo yake Mungu kamuumbua tu. Na ukute hata room hakulipia shenzy type. Marehemu hakuwa muungwana
Ni kweli kabisa sema kifo nacho duh.Sasa si angepita getini?
Unamuambia tu mlinzi, mimi askari. Unatoa kitambulisho na Radio call, over.
Umepata taarifa ya tukio fulani kutokea. Unatokomea unakojua wewe.
Kwenye kilichomuua marehemu ni kichekesho japo kifo hakifurahishi, Ee Mungu niepushie mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniiii
Yani kwa mara ya kwanza msiba umetuchekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnanichekesha
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwenye kilichomuua marehemu ni kichekesho japo kifo hakifurahishi, Ee Mungu niepushie mbali
Yaani daahh[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Yani kwa mara ya kwanza msiba umetuchekesha
Thubutuuu...! Mzee wa kupambania na Mzabzab watakuelewa basi?Tuombe mwisho mwema, hivi unapata mapokezi gani kwa kifo kibaya namna hii?.
Ukiwasoma hao jamaa utadhani hawahusiki na kifo.Thubutuuu...! Mzee wa kupambania na Mzabzab watakuelewa basi?
Yule mwanmke Ni mchawiAlichukua demu, kapiga mashine, kawaza hana cha kumlipa kampiga na simu akawa anamtoroka ndio mauti yakamkuta,
Ndio maaana sitakagi ujinga na makahaba lzm ulipe chake la shvyo kitakacho Pata dunia itashangaa funzo kubwa Sana hili liwekwe kwenye kumbukumbu za matukio watu wahadithiwe baadae2070Askari alitaka kukimbia bila kumlipa huyo mwanamke, sasa shetani akasema hy haiwezekani kumtapeli mwanae akaamua kumpa jina jipya la marehemu.