Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Alafu lilikuwa ni liinspekta kabisa ila halikuwa na hela ya kumlipa muuza mbunye

Rest easy mnunuaji mwenzangu
 
Dadadeki!
Kumbe;
Alimkopa penzi!
Akamwibia huyo dada!
Na alikuwa anamtoroka!
Kweli umekufa kifo cha aibu, fedheha na kitapeli na dhambi kubwa sana!
 
..huyu polisi kakutwa na mke/ au demu wa mtu gesti kapigwa kauliwa katupwa nje ..period ..hayo mengine ni mbwembwe na chagizo tu za kuficha upelelezi...maana hayana logic hata ya kichaa kuyafanya...bongo watu wengi wanapigwa pia risasi na kusingiziwa ni majambazi...hii haina tofauti...
 
Cheo chake ni mkaguzi wa polisii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa...
Kwanini amtoreke?

Kwanini aruke ukuta?

Uchunguzi zaidi unapaswa kufanywa isijekuwa afande karushwa na.....
 
Intelejensia inaonyesha huyu polisi
1. Ni mzinzi
2. Ni mwizi
3. Ni mlevi
4. Ni mzembe
Watu wenye sifa hizi wanaruhusiwa kuwepo jeshini.
Hivi polisi hawana intelejensia Kama Ile ya geshi. (Military intelligence)?
HUko jeshini ni km polisi tu hamna tofauti yoyote.

Mtaani pamejaa wanajeshi wazinzi, walevi wezi vile vile
 
Cheo chake ni mkaguzi wa polisii[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nilidhani Ni konstebo, kumbe Ni inspector kabisa. Kiongozi katika jeshi, afisa wa geshi wa kiume anabeba chips kwenye begi.
 
Afande wa mchongo,yaan hadi chips anatoroka nazo achilia mbal simu ya manzi kwl?aaaaaaah wanaumme wenzangu tusife huko,utapeli PLUS!
 
Usiwe mwepesi wa kuhitimisha jambo,kwa kuangalia tu hali iliyopo muda huo,polisi walisema watafanya upelelezi,wewe umehitimisha.
Ukute kauawa,kaachwa hapo.Inspekta akose hela ya kununua mdada,konstebo tu hashindwi kununua.
 
Back
Top Bottom