Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Inashangaza sana. Nyota mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana. Nyota mbili
Cheo chake ni mkaguzi wa polisii[emoji3][emoji3][emoji3]..huyu polisi kakutwa na mke/ au demu wa mtu gesti kapigwa kauliwa katupwa nje ..period ..hayo mengine ni mbwembwe na chagizo tu za kuficha upelelezi...maana hayana logic hata ya kichaa kuyafanya...bongo watu wengi wanapigwa pia risasi na kusingiziwa ni majambazi...hii haina tofauti...
aibu mno...polisi una mkoba una chipsi??Dah dah misiba mingine ni aibu sanaa
🤣🤣🤣🤣Ila waandishi nao jamani wanaripoti mpk kiepe si wangekausha tuu
Kwanini amtoreke?Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa...
Kiepe cha buku mbiliaibu mno...polisi una mkoba una chipsi??
HUko jeshini ni km polisi tu hamna tofauti yoyote.Intelejensia inaonyesha huyu polisi
1. Ni mzinzi
2. Ni mwizi
3. Ni mlevi
4. Ni mzembe
Watu wenye sifa hizi wanaruhusiwa kuwepo jeshini.
Hivi polisi hawana intelejensia Kama Ile ya geshi. (Military intelligence)?
Mimi nilidhani Ni konstebo, kumbe Ni inspector kabisa. Kiongozi katika jeshi, afisa wa geshi wa kiume anabeba chips kwenye begi.Cheo chake ni mkaguzi wa polisii[emoji3][emoji3][emoji3]
BaghoshaAskari mzima hovyo. Anatoroka hadi na Kiepe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari alitaka kukimbia bila kumlipa huyo mwanamke, sasa shetani akasema hy haiwezekani kumtapeli mwanae akaamua kumpa jina jipya la marehemu.