Kuna ukweli ulojificha.
Mtu anatorokq kwa kuruka gets then anaangukia kichwa ?
- Kwani mlinzi siku zote si anakaa getini? Iweje mtu apande gets bila kusikika?
- Geti siku zote lipo upande wa mbele wa nyumba ambao pia kuna kuwa na taa na wapita njia mtu hawez chagua kurukia getini bali upande mwingine wenye kagiza kidogo.
-kwa maeneo ya mrina hapakauki watu , muda wote watu wako njiani na izo baa za apo mtu alikosaje msaada wa kukimbizwa hospitali hadi asubuhi askari wenzake wanafika?
- mlinzi alichukua hatua gani kuona mtu anavuja damu, naamini bado alikua hai. Bora tungeambiwa alifia hospitali ila mlinzi na watu wote wa eneo ilo kusubir had asubuhi ni utata mwingine.