Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Kuna ukweli ulojificha.

Mtu anatorokq kwa kuruka gets then anaangukia kichwa ?

- Kwani mlinzi siku zote si anakaa getini? Iweje mtu apande gets bila kusikika?

- Geti siku zote lipo upande wa mbele wa nyumba ambao pia kuna kuwa na taa na wapita njia mtu hawez chagua kurukia getini bali upande mwingine wenye kagiza kidogo.

-kwa maeneo ya mrina hapakauki watu , muda wote watu wako njiani na izo baa za apo mtu alikosaje msaada wa kukimbizwa hospitali hadi asubuhi askari wenzake wanafika?

- mlinzi alichukua hatua gani kuona mtu anavuja damu, naamini bado alikua hai. Bora tungeambiwa alifia hospitali ila mlinzi na watu wote wa eneo ilo kusubir had asubuhi ni utata mwingine.
 
Jamaa yangu alikuwaga njaguanasema kama wakati ule wanakwe da kukamata bitchies pale kona bar unaambiwa wanawapitisha sehemu ya giza afu wanaanza kuwapiga mashine vibaya sana baadae ndo wanwapeleka Selo!

Jamaa yangu alikuwaga njaguanasema kama wakati ule wanakwe da kukamata bitchies pale kona bar unaambiwa wanawapitisha sehemu ya giza afu wanaanza kuwapiga mashine vibaya sana baadae ndo wanwapeleka Selo!!
Kuna TanPol wawili waliingia choo cha kike pale mitaa ya Umoja House wakati huo inajengwa.

Wamewakuta wadada 5,wakataka kuwabeba,wakagoma,wakawaomba wamalizane,wakaenda jirani na fensi ya Gymkana Club,mmoja wa dadapoa akaomba apige simu,baada ya dakika 6 ilisimama Pajero na Nissan Patrol.

Kilichofuata hapo ni wao kupelekwa kusafisha yale maghorofa pale Ocean Road.
 
Nilishalala na demu gesti nikamlipa chake mapema, nikala mzigo, kumekucha alfajiri amelala fofo nikamsachi nikachukua hela zangu nikasepa..

Siku nyingine nikamtafuta nikamlipa ile hela yake mambo yakaendelea... ile siku nilikuwa nimepigika...
 
Afande amefeli sana, ukuta aliruka ili iweje sasa wakati geti lipo na yeye ni poti... au alikuwa anakimbia akijua demu kakata moto ndio maana akaondoka na simu pia..
 
dah! Maisha ni fumbo wakuu, uki-imagine tunavimbia haya mapigo ya moyo tu, Tuishi kwa upendo tufanye yaliyo mema.... Maisha yasitusumbue akili tumtegemee Mungu wetu.
 
Halafu kwenye begi kuna chipsi na bia na simu.Yaani kaiba kama shangingi mwanamke.
 
Hapo Mrina wanapatikana hao wadada wauza nyama sijaelewa ni kitu gani kilichomfanya kukimbia hiyo nyama wakati nyama za Mrina hazina gharama zinachukua kuanzia buku tano kuendelea...ila hii ya kulala nayo hapo patakua palikua na makubaliano ya kulipa chumba na gharama zingine...sema hawa jamaa zetu kutokana na matukio wanayowafanyia Wananchi karma inawahukumu hapa hapa..
 
Screenshot_20230113-142240.jpg
 
Back
Top Bottom