raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ayaaaaa kuna kale kasheria ohooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafugaji nao huwa wanajiamini sana, hapa kwenye taarifa wafugaji wameua mtu na wanawapiga wakulima, mleta taarifa haja balance taarifa yake nazani ni mihemko yake.Hii habari haijabalance kuna mtu huko olasit alisema huyo kijana alikaidi amri ya kuingiza mifugo shamba lilokuwa likilindwa na walinzi wa kampuni binafsi, Askari hao walipoona wanazidiwa nguvu na watu wakaomba msaada polis, polis walipofika wakataka ajisalimishe lakin aliendelea kuwafuata akiwa na silaha za jadi risasi kadhaa zikapigwa hewani lakin hakutii ndipo wakafyatua kiuno..
Ni wakorofi sana wafugajiWachungaji huwa ni hatari sana kwa kutumia silaha zao hasa fimbo na manati. Wanajua sana kumrushia mtu ikawa ni silaha hatari kuliko hata bunduki. Pia kuchapa hupewa mafunzo maalum.
Ng'ombe huingia shambani bahati mbaya hasa kwa kusinzia. Akishtuka anakuta wameingia, sasa kwa uoga huenda kureport kuwa amepigwa na ng'ombe kuzuiwa, so team ya wenye Ng'ombe wanakuja kulianzisha.
Hapo ni ngumu kujua kipi ni kipi. Ila wachungaji ni tatizo.
Kwenye tukio la kwanza aliingilia kuzuia asiuawe kwa sababu gani? Huyo diwani ana mashtaka ya kujibu.Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa Risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe Kuingia shambani.
Tukio hilo limetokea katika mtaa wa Olaresho Kata ya Olasiti katika halmashauri ya jiji la Arusha.
Akizungumzia tukio hilo diwani wa kata ya Olasiti Bwana Alex Martin amesema kuwa hilo ni tukio la pili kwa askari huyo kufanya mauaji katika Kata hiyo ya Olasiti kwani huko nyuma alishafanya mauaji wananchi walitaka kumuua askari huyo lakini diwani huyo aliingilia kati kwa kumuepusha askari huyo kuuliwa na wananchi.
Lakini cha kushangaza askari huyo amerudia tena kufanya mauaji katika Kata hiyo hiyo
Diwani Alex ametoa wito kwa jeshi la polisi kutotumia nguvu na mabavu kwa raia wake pasipo sababu.
Wananchi waomba sheria ichukue mkondo wake.
why not kama mshahara upo vizuri?Wewe mwenye master utakubali kukaa lindo ? Kuzunguka boda faster mtaani kama huko Goba alikosema mpoki kuna hadi fisi wanatembea kama mbuzi usiku?
Huo ni Mgogoro wa Wafugaji na Wakulima.Sasa wewe unalisha mifugo kwenye Shamba lake alafu unataka kumuua kwa kumchoma Mkuki anapokuambia toa mifugo unategemea yeye akuache wakati anacho Mguu wa kuku .Acheni kulisha mifugo kwenye mashamba ya Watu kibabe kuna jamii zingine zimevurugwa hasa mbayazaid anayo taaluma ya kijeshi.Hapo hata mahakamani anashinda kesi mapema sana maana sababu ya kumiliki silaha ni kujilinda mwenyewe na Mali zake na kweli kajiinda yeye na mali zake.Mimi nafikiri baldili Tittle ya post maana wala kazi yake hapo haihusiki .Poleni wafiwa maana kuondokewa na ndugu inauma ila hapo ni kosa la Marehemu hata mimi Raia ningetumia chuma tu siwezi kufa kizembe .Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa Risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe Kuingia shambani.
Tukio hilo limetokea katika mtaa wa Olaresho Kata ya Olasiti katika halmashauri ya jiji la Arusha.
Akizungumzia tukio hilo diwani wa kata ya Olasiti Bwana Alex Martin amesema kuwa hilo ni tukio la pili kwa askari huyo kufanya mauaji katika Kata hiyo ya Olasiti kwani huko nyuma alishafanya mauaji wananchi walitaka kumuua askari huyo lakini diwani huyo aliingilia kati kwa kumuepusha askari huyo kuuliwa na wananchi.
Lakini cha kushangaza askari huyo amerudia tena kufanya mauaji katika Kata hiyo hiyo
Diwani Alex ametoa wito kwa jeshi la polisi kutotumia nguvu na mabavu kwa raia wake pasipo sababu.
Wananchi waomba sheria ichukue mkondo wake.
Kumbuka tu bunduki inakwenda sehemu ambayo haina Usalama wa kutoshaNi hatari sana mtu asiye na akili kupewa bunduki
Mshahara wawapi huo wangekuwa kila siku wanakaba mpaka elfu 2?why not kama mshahara upo vizuri?
Suala la utashi sio lazima uende shule,kuna watu wamesoma lakini kichwa kimejaa matope.if it's impossible, ujinga na upumbavu kama huo hauwezi kuisha as you expect.
Kwanini wananchi wasijitetee wakamdedisha lau kwatumia ujumbe wauaji wenzake? Hili nalo linahitaji wafadhili kweli? Jicho kwa jicho, jino kwa jino na mtama kwa mtama, kifo kwa kifo.Kijana mmoja aliejulikana kwa jina la Israel Daudi, amefariki dunia baada ya kupigwa Risasi 3 na askari Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuachia ng'ombe Kuingia shambani.
Tukio hilo limetokea katika mtaa wa Olaresho Kata ya Olasiti katika halmashauri ya jiji la Arusha.
Akizungumzia tukio hilo diwani wa kata ya Olasiti Bwana Alex Martin amesema kuwa hilo ni tukio la pili kwa askari huyo kufanya mauaji katika Kata hiyo ya Olasiti kwani huko nyuma alishafanya mauaji wananchi walitaka kumuua askari huyo lakini diwani huyo aliingilia kati kwa kumuepusha askari huyo kuuliwa na wananchi.
Lakini cha kushangaza askari huyo amerudia tena kufanya mauaji katika Kata hiyo hiyo
Diwani Alex ametoa wito kwa jeshi la polisi kutotumia nguvu na mabavu kwa raia wake pasipo sababu.
Wananchi waomba sheria ichukue mkondo wake.
Hujanielewa na sizani kama utanielewa,, unaweza kuniambia kwanini Tanzania inaruhusu failures wa form 4 ndo wajiunge na upolisi?Mshahara wawapi huo wangekuwa kila siku wanakaba mpaka elfu 2?
Wewewe Huwajui Mipolisi ya Arusha chalii yangu yaani haikawizagi kutumia cha moto Utafikiri Mapolisi ya South Africa. kwanza hayanaga time ya kujadili na Mhalifu mbabeKwanini wananchi wasijitetee wakamdedisha lau kwatumia ujumbe wauaji wenzake? Hili nalo linahitaji wafadhili kweli? Jicho kwa jicho, jino kwa jino na mtama kwa mtama, kifo kwa kifo.
Taarifa yako ya uongo mbona na imejaa ushabiki tuHujanielewa na sizani kama utanielewa,, unaweza kuniambia kwanini Tanzania inaruhusu failures wa form 4 ndo wajiunge na upolisi?
Basi sawa sitakuelewaHujanielewa na sizani kama utanielewa,, unaweza kuniambia kwanini Tanzania inaruhusu failures wa form 4 ndo wajiunge na upolisi?
Kwakuwa huyo jamaa anaongea upuuzi basi haeleweki .aaaahaaaaBasi sawa sitakuelewa
Sawa polisi.Taarifa yako ya uongo mbona na imejaa ushabiki tu
Hawa hapa waliojiunga mwaka huu nani kafeli hapo
Hao waliokuwa awamu ya pili
Sasa angalia tovuti yao awamu ya kwanza walikwenda wakina nani
Hawa hapa na ujiulize ulitakamsomi yupi aende Polisi na hayupo huko.
Acha ushabiki maandazi kwakuwa unachuki nao
[emoji848] haina noma KOLO.Kwakuwa huyo jamaa anaongea upuuzi basi haeleweki .aaaahaaaa
Mwenyewe umeona umefikiri kweli kweli hapo. Kwa ufupi sipendi kuona unapotosha jamii wakati ukweli unajulikana wazi ndugu na jamaa zetu wakiwa ni wasomi wanaomba kazi tunaona .Ila kwakuwa unazo hasira zako au bifu zako na hao Mapolisi basi unawapiga za uso tu huku jamii forum . Sasa rudi kwenye mjadala mkuu jadili kuhusu muaji wa Mfugaji huko Arusha na muulize mtoa mada kuwa aweke story yote asituletee Majungu hapa jamii forum akifikiri ndiyo Mahakama.Sawa polisi.