Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

Kumbukumbu mbaya ambazo hazifutiki katika mawazo yake ndio zinasababisha haya,unaweza Kuta wakati akiwa kazini alifanya mambo mengi Kwa sifa,na alipongezwa na waliokuwa wakubwa zake,baadae Ile kumbukumbu zilipokaa vizuri akagundua Kuna mambo yanaiondoa amani na utulivu wa nafsi yake,hivyo jibu pekee ni kujiandalia hayo mapema maana Hana matumaini Tena ya kuishi,anaiona Dunia kama inamhukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika.
 
Litafanyiwa modification
 
Alikuwa ni askari shupavu na mahiri kabisa.Enzi zake alipewa pasi za ugoko na akazitendea haki.Wahalifu wanamjua au familia zao zinamkumbuka.Askari mpelelezi aliyewakomesha majambazi sugu, mwenye shabaha isiyo ya kawaida.RIP Sabasita.
Watoto mkalale mkishakunywa maziwa au uji wa lishe
 
Sasa mbona anapata maluweluwe ya umauti.
 
Ajitwange shaba ya kichwa tu tuzike tumsahau tuendelee kula tunda..
Zingine Mbwembwe tu.
 
Yupo Sawa Waislamu wao huweka Shanda vyumbani kabatini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…