Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

Huyo mtu kama alikuwa hana hatia, atamsumbua sana.
Hata Cain alipomuua Abel, damu ya Abel ilimlilia Mungu hadi Mungu akaamka na kumuuliza Cain umemfanya nini nduguyo, na yuko wapi?
Atakosaje damu za majambazi.
Sema damu ya mchawi na jambazi hazina laana Wala mikosi
 
Hisia zangu ni kwamba huyu Saba Sita kuna kitu kinamsumbua kiskili
Acha kuongozwa na hisia mkuu ,
Acha kuhukumu pia
Huwezi jua ametubu lini, kusubiri kifo kwa hamu kwangu Mimi ni dalili ya kuwa na amani na kuridhika na mambo ya Dunia, ila kujiua ni dalili ya kukosa amani Duniani na kuona maisha ni kama mzigo,.

Kuogopa kifo ni dalili ya kutokuridhika na mambo ya Dunia , yote yanaenda na Muda na matukio ya kimaisha, una miaka 65 Bado unaogopa kufa ! Kwa Nini usianze kujiandaa kwa kusali na kutenda mema! Maana ukizidi San ni miaka 16 mbele, hiyo mingine ni ziada na usumbufu


Zaburi 90:10
[10]Siku za miaka yetu ni miaka sabini,
Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;
Na kiburi chake ni taabu na ubatili,
Maana chapita upesi tukatokomea mara.
The days of our years are threescore years and ten; and if by reason of strength they be fourscore years, yet is their strength labour and sorrow; for it is soon cut off, and we fly away.
 
Inashauriwa hata wosia wako unaandaa vizuri mapema ili siku ukifa waandaaji wasipate tabu
 
What if akapotea kama Ben saanane hilo kabur na jeneza ndugu zake wanapeleka wapi.
 
Mkuu hisia ni sith sense, haiongozwi na rational thinking.
Wengine wanasema machale yanamcheza mtu.
Huyu ndugu yetu Saba Sita macahe yake yanamfukuzia aingie ardhini ajifiche kwa mauti, ili wanaomtafuta na hawaonekani wasimpate.
 
Mkuu hisia ni sith sense, haiongozwi na rational thinking.
Wengine wanasema machale yanamcheza mtu.
Huyu ndugu yetu Saba Sita macahe yake yanamfukuzia aingie ardhini ajifiche kwa mauti, ili wanaomtafuta na hawaonekani wasimpate.
Ni kina nani wanaomtafuta?
 
Naona bado ya kustaafu kwasababu wanakuwa idle ndio wanapatwa na mawazo ya mambo ya nyuma. Ambapo mtu akikosa kazi huwa automatically anakuwa na mawazo mawazo hasa ya majuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…