Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Majibu excellent kabisa, nadhani atakuwa amekuelewa. Lile Rundi katili kifo chake kimeleta faraja na matumaini kwa taifa.
 
hii ni dharau kwa IGP kwamba vikosi vyote vya Sirro ni hovyo mpaka huyo mmoja alejeshwe?? au anataka kumpa nafasi ya Mambojana?
 
🤣🤣🤣umeuchana ukweli kama ulivyo.
 
Alikuwa na falsafa gani ya maana zaidi ya kuliangamiza Taifa kwa kulipelekea kaburini? Hivi akali zenu zikoje?
 
Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Kwa hiyo mwaka 2004 nchi ilikuwa vipi?

Tatizo umepata akili na umekuwa mtu mzima wakati wa JPM
 
Na ataendelea kuwatesa hadi kizazi chenu cha kumi! JPM was one the rare African Leader species born in our time ndio maana pamoja na kwamba aliishafariki, JF HAIWEZI kukaa bila threads zake na ikabaki salama! That's Legacy fella!!!!
yes you are right he was one of those rare species the world has ever witnessed.
it's very regrettable the specie in question happened to live on our beautiful land. Yes you are right.
 
Sio Afande Muroto Kweli, mzee wa kipigo Cha Mbwa Koko, Mzee was unapigwa Hadi uchakae
Muroto Yupo likizo ya kustaaf nazani ni mwezi huu wa tano ndio anastaaf labda kama wana nia ya kumuongezea muda kama ilivyo kuwaga kwa zelote etc
 
Hapana, hajaamuru kwamba arudishwe bali ame quote maoni ya walalamikaji mitandaoni
 
Kwa hiyo wewe unao uwezo wa kupata habari nyeti kuliko Rais?
 
Sasa naziona land lover zikiwa zimejaa wahalifu na askari kanzu wamevalia jezi mpira wakienda mabwepande kucheza mpira na majambazi .....waanze na wanunuzi wa spare magari waliokamatwa pia wanunuzi wa TV hasa vibanda umiza...ndio wateja wao
 
Watu wanalaumu ila hawajui nguvu ya huyo Askari mpaka Raisi anatambua uwezo wake, kuna watu ni master chess players wanajua kuchezesha watu mpaka basi ndio maana unaweza kuta kuna askari wengi wazuri lakini bila ya kuwa na mtu wa strategy potential yao haionekani sembuse kutumika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…