Askari uhamiaji analipia nauli public bus?

Vyombo vya usalama vipenda kujidhalilisha
Yaani mtu mzima una mshahara unaona raha na ubabe kumudhulumu konda 600,
Eti kisa umevàa sare
 
Ni sheria/muongozo upi kati ya iliyopo kwa maelekezo hayo?
Kaka nachoweza kusema ni zaidi ya miaka tisa sikubahatika kujua ni Sheria ipi iliyokuwa inampa askari yeyote haki ya kupanda vyombo vya umma bure .

Ila nakumbuka zilikuwa ni sarakasi za wanasiasa katika kufurahisha ndimi zao ni hapo zilitokea kada zingine nazo zikahitaji haki hiyo Kama walimu .

Nakumbuka ndipo ikadaiwa itabidi ikiwa unataka ofa basi panda katika vyombo vya umma ukiwa na kitambulisho na uwe tayari kukionesha .

Sasa ikaonekana Kama ni kudhaurilishana watu wakagutuka kuwa ni kujichoresha na kuniabisha ni .

Kwahivyo naamini huwezi mkuta Askari mwenye cheo chake aanze kutaka kupanda bure Ila wale watoto wa depo wao kufanya hivyo kwao no ufahari ijapokuwa ni kujishusha hadhi
 
Ok.Nimemuuliza huyo ndugu kuhusu askari kujinunisha.Hayo ya kupenda dezodezo inajulikana wanajiendekeza tu.
 
pumbav sana kwaiyo umepata ajira ndo unamvimbia konda autaki kulipa nauli? gari ya babaako iyo? mpe konda chake au la kanunue la kwako au ukatembelee gari la babaako kama analo. jinga moja wewe
Wajeda magereza zimamoto police wote hao wanapanda Bure sembuse uhamiaji?
 
Vyombo vya usalama vipenda kujidhalilisha
Yaani mtu mzima una mshahara unaona raha na ubabe kumudhulumu konda 600,
Eti kisa umevàa sare
Raia lazima waoneshe upendo kwa vyombo vya Dola, wanafanya kazi ngumu
 
Tangazo la ajira limetoka juzi tu leo watu washaanza kuulizia marupu rupu akitoka hapo atauliza jinsi ya kupiga dili na wahamiaji haramu
 
Back
Top Bottom