Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo gari alinunua shangazi yake?Kama kichwa kilivyojieleza wakuu aya tiririkeni hapo mmoja baada ya mwingine. Nasoma replies.
Hayo mafuta wamiliki wanajaziwa na bohari kuu? Hawalipwi mishahara na stahiki nyingine?Mbona wajeda magereza polisi zimamoto wanapanda Bure?
Ni sheria/muongozo upi kati ya iliyopo kwa maelekezo hayo?Dah ,hii dunia hii wewe acha tu
Kaka nachoweza kusema ni zaidi ya miaka tisa sikubahatika kujua ni Sheria ipi iliyokuwa inampa askari yeyote haki ya kupanda vyombo vya umma bure .Ni sheria/muongozo upi kati ya iliyopo kwa maelekezo hayo?
Ok.Nimemuuliza huyo ndugu kuhusu askari kujinunisha.Hayo ya kupenda dezodezo inajulikana wanajiendekeza tu.Kaka nachoweza kusema ni zaidi ya miaka tisa sikubahatika kujua ni Sheria ipi iliyokuwa inampa askari yeyote haki ya kupanda vyombo vya umma bure .
Ila nakumbuka zilikuwa ni sarakasi za wanasiasa katika kufurahisha ndimi zao ni hapo zilitokea kada zingine nazo zikahitaji haki hiyo Kama walimu .
Nakumbuka ndipo ikadaiwa itabidi ikiwa unataka ofa basi panda katika vyombo vya umma ukiwa na kitambulisho na uwe tayari kukionesha .
Sasa ikaonekana Kama ni kudhaurilishana watu wakagutuka kuwa ni kujichoresha na kuniabisha ni .
Kwahivyo naamini huwezi mkuta Askari mwenye cheo chake aanze kutaka kupanda bure Ila wale watoto wa depo wao kufanya hivyo kwao no ufahari ijapokuwa ni kujishusha hadhi
pumbav sana kwaiyo umepata ajira ndo unamvimbia konda autaki kulipa nauli? gari ya babaako iyo? mpe konda chake au la kanunue la kwako au ukatembelee gari la babaako kama analo. jinga moja weweKama kichwa kilivyojieleza wakuu aya tiririkeni hapo mmoja baada ya mwingine. Nasoma replies.
Wajeda magereza zimamoto police wote hao wanapanda Bure sembuse uhamiaji?pumbav sana kwaiyo umepata ajira ndo unamvimbia konda autaki kulipa nauli? gari ya babaako iyo? mpe konda chake au la kanunue la kwako au ukatembelee gari la babaako kama analo. jinga moja wewe