Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

Itabidi uuwe Wapalestina million 9
kuombea kuua wapalestina ni jambo la ajabu. kwanza hapo gaza wapo miliono 2.3 tu, hata sio wengi kiasi hicho. westbank wapo kama miliono 3 na wakati huohuo wayahudi wanaongezeka kila siku na makazi yanajengwa kila siku sasaivi wamefikia wayahudi 600,000. na vibarua wanaojenga makazi mapya ya wayahudi westbank ni wapalestina, uliona ile juzi walivyokuwa wanalalamika ati waisrael wamewafukuza kazi kwenye mashamba na ujenzi wa nyumba kama vibarua? inaumiza moyo. sijui kwanini wasikae tu wote pamoja kwenye nchi moja yenye kabila la wayahudi, wapalestina na waarabu.
 
Israel kishashindwa hii vita toka siku ya kwanza, iliobakia anapambana na wagonjwa na watoto mahospitalini.

Sasa hivi yeye apigane na wagonjwa Gaza vijana wanamdunguwa kutokea nje.

Muisraeli Kaingizwa anapotakiwa awepo.
 
Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206
Bro umeandika ukionyesha upande gani ulipo. Nilishasema na leo nirudie hakuna vita rahisi. Hamas kwa sasa ni tofauti kabisa na.ile ya miaka kumi iliyopita.
Kwenye vita ngumu kama hii matukio kama hayo ya kushtukiza ni lazima yatokee. Kuhusu Israel hawajaingia Katikati ya Gaza ni uongo wapo katikati ya Gaza, natazama hapa sasa hivi kuna mapigano yanaendelea kuzunguka hosp ya Al shif.
Sasa jiulize Israel inapigana na wagonjwa? Madaktari na manesi? Bila shaka ni Hamas walioweka ngome kwenye hizo hospitali.
Kwenye hilo gate la hospitali hakuna mtu kutoka . Kuna mmoja alijaribu kutoka akiwa na mke na watoto wameuliwa wote.
Tazama Aljazira wako live.
Kumbuka aljazira iko based na Hamas.
 
Achana na propaganda dunia ya leo tushapita uko kwenye uwongo uwongo
Vtu vya leo vko waz ukivitafta tu unavipata sasa ww na propaganda zako
 
Israel kishashindwa hii vita toka siku ya kwanza, iliobakia anapambana na wagonjwa na watoto mahospitalini.

Sasa hivi yeye apigane na wagonjwa Gaza vijana wanamdunguwa kutokea nje.

Muisraeli Kaingizwa anapotakiwa awepo.
Wewe mwanamke ,huna huruma na watoto w kipalestina wanaosababisha kifo na hamas kwa ajili udini wako.
Jiulize hiyo hospitali ya Al shifa IDF inapigana na wagonjwa, au madkatari na wauguzi. Uwe na huruma na watoto wa wenzao.
 
Bro umeandika ukionyesha upande gani ulipo. Nilishasema na leo nirudie hakuna vita rahisi. Hamas kwa sasa ni tofauti kabisa na.ile ya miaka kumi iliyopita.
Kwenye vita ngumu kama hii matukio kama hayo ya kushtukiza ni lazima yatokee. Kuhusu Israel hawajaingia Katikati ya Gaza ni uongo wapo katikati ya Gaza, natazama hapa sasa hivi kuna mapigano yanaendelea kuzunguka hosp ya Al shif.
Sasa jiulize Israel inapigana na wagonjwa? Madaktari na manesi? Bila shaka ni Hamas walioweka ngome kwenye hizo hospitali.
Kwenye hilo gate la hospitali hakuna mtu kutoka . Kuna mmoja alijaribu kutoka akiwa na mke na watoto wameuliwa wote.
Tazama Aljazira wako live.
Kumbuka aljazira iko based na Hamas.
unayosema hayapingani na ukweli kuwa Israel kapata hasara kubwa na kwamba vita havijaisha na hakuna mateka aliyeokolewa
 
Wewe mwanamke ,huna huruma na watoto w kipalestina wanaosababisha kifo na hamas kwa ajili udini wako.
Jiulize hiyo hospitali ya Al shifa IDF inapigana na wagonjwa, au madkatari na wauguzi. Uwe na huruma na watoto wa wenzao.

Wewe ndio huna huruma
 
Cha ajabu ni kikundi cha mgambo kulizuwia jeshi kubwa duniani.
yap, hamas ni kikundi cha mgambo tu. ila ni kikundi cha mgambo kinachojificha katikati ya raia ili israel asipige hovyo. kwani unafikiri israel angekuwa haogopi kuua raia wengi, si anapiga tu siku moja anamaliza?
 
Hizo sinema watumie wanao. Hakuna mpiga picha wa kuchukua tukio hilo bila hofu
Hofu wewe huwa unaipima kwa kipimo gani.Jamaa ikiwa hawana hofu ya kupiga kifaru watakuwa na hofu ya kupiga picha.Tumia akili yako.Wengi wamekubali hiyo sio sinema.
 
Tumeni video sijui fanyeni maandamano. Israel huko bado anatembeza kichapo hadi dakika hii😂😂😂. Sio kwa palestina ni kwa hamas.
Kifo ni Hukumu ya mwanajeshi yoyote Akiwa vitani.

Yaani hata mjomba wako kama anakula soseji samaki samaki akito lugalo, siku mimi nikianzisha kikundi changu hapa bongo kama HAMAS Au ALSHABAB.
Wewe jua atakuja vitani, na nitawabomoa mamamamaqe.
Acheni wanajeshi wa israel wafe ila cha msingi hawajabackup, hata warusi wanakufa, jwtz kule congo wanakufa, waukraine wanakufa, that’s Army doomsday.
 
Kwa kuuwa watoto sio!
 
Cha ajabu ni kikundi cha mgambo kulizuwia jeshi kubwa duniani.
Hamas hajazuia jeshi la israel hadi sasa, maana sehemu jamaa waliosafisha hadi sasa yamebaki magofu, hamas wanashindwa kutoka walio wengi maana wanajulikana.

Alafu futa kauli, israel si jeshi kubwa duniani.
Jeshi kubwa duniani ni China. Likifatiwa na india na marekani.

Hawa usithubutu kuingia nao vitani, wanakubidua siku hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom