Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
mosadhiyo ni vita mura, kupigwa sometimes sio kitu cha ajabu. nakushauri nenda kwenye lini ya twitter inaitwa https://twitter.com/TheMossadIL pale utapata kuangalia list ya viongozi wa hamas ambao hadi sasa wamekuwa eliminated. ni wengi mno, hao waliobaki kupigana ni wafuasi tu na viongozi wachache wamebaki, ila majority ya makamanda wao wameshakuwa eliminated. na israel inasema inatafuta kwanza viongozi na wengine wanafuata. hadi nimewaonea huruma. usije kufurahi ukidhani israel peke yake ndio anaumia hapo, upande wa pili kuna kipigo kikubwa sana kinatokea hadi hamas wenyewe hawapati muda kwenda kuzika viongozi wao. kama kuna mambwa gaza, baada ya vita hii wataishi kwa mizoga ya wanahamas kwasababu sidhani kama israel baada ya kuwauwa inawazika, inawaacha tu wanazagaa.Katika hali ya kuzimwa data na umeme Gaza kuna mengi tunayokosa kuyaona.Hata hivyo machache yanayovuja kwa shida inaonesha vita huko ni kali kuliko ule ukali uliotarajiwa jeshi la IDF.
Mara kadhaa jeshi hilo limeshatangaza kuingia katikati ya Gaza lakini baadae ikaonesha kuwa bado wako pembeni kabisa wakitumia makombora ya kutoka kwenye ndege zao za kisasa.
Katika moja ya vidio zilizotolewa kwa shida na wapiganaji wa Hamas imeonesha kifaru cha Israel kikiripuka baada ya kupigwa na silaha hafifu.Baada ya hapo mmoja wa waendeshaji kifaru hicho akachomoka kwa nyuma huku akivua magwanda yake na kukimbia akiwaacha waenzake waungue ndani ya kifaru hicho.
Pembeni ya kifaru hicho vipo vyengine kadhaa vilivyotelekezwa baada ya ama kuharibiwa au askari wake kuamua kuviacha tu na kukimbia.
View attachment 2810206